Leo nilijikuta najiuliza, hivi inakuwaje search engine ya google inakuwa na jaarifa nyingi na up to date kuhusu mambo mengi hapa duniani? Wanawezaje kukusanya taarifa zote hizo wakati hawapo kila...
Natumai mu wazima
Naomba kupata msaada juu ya simu yangu( samsung A3) inakataa kuingia chaji na kuandika NOT CHARGING NA KUANDIKA OVER HEATING HATIMAYE KUJIFUNGA APPLICATIONS ZOTE ZINAKUWA...
Nahitaji Kujua Kwa Ambae Anaelewa Vizuri Hii Kitu, Nimewahi Kusikia Kua Unaweza Kuongea Na Mtandao Wa Simu Wowote Unaotaka Na Wakakupa Server Maalumu Ya Kwako Ambapo Utakua Unatumia Unlimited...
Baadacya kuharibika kioo nilipekeka kwa fundi, simu imerudi inafanya kazi ila ikienda slerp mode/standby kama simu zote isipotumika dakika kadhaa inakuwa blackscreen na huoni kitu, ila unasimu...
Habari wakuu,naomba mnifahamishe inawezekana kuichakachua router ya smile ?? ikawa inaingia line yoyote? aina ya dualcom franklin technolgy 702??,mwenye kuua naomba msaada wake tafadhali?
Msaada wenu wa kuu tangu nipewe kazawadi na mama yangu mpedwa mwaka 2013 nilipo faulu vizuri matokeo ya darasa la 7 Ali ni nunulia PC ya dell latitude hizi laptop ni old sana sasa hivi inawezekana...
Habari zenu wakuu, mimi ni mjasiriamali mdogo ambaye bado nakua, lakini nilikua nimepata fursa kwa kutoa huduma zangu kwa kutumia msaada wa call center.
Je unahitaji vitu gani ili uweze kufungua...
Habari wakuu naomba msaada katika mambo kadhaa katika blog+adsense
1.setting nzuri ya adsense codes
2.tricks za adsense za kuweza kupata $5 kwa siku au zaidi ikimpendeza
ila ziwe tricks ambazo...
JIHADHARI: UMEME UNAUA
Habari ndugu, pole na miangaiko ya hapa na pale kadhalika, mshukuru MUNGU kuzidi kukupa pumzi ya uhai hadi leo.
Bila ya kupoteza muda, twende katika mada husika moja kwa...
Nimenunua wino wa unga lengo langu nikurefill kwenye cartridge iliyokwisha...
Nilipewa ushauri na mdau wangu cz yeye anarefil, aliyenielekeza ili linamtatiza...
wino wa unga ambao niliagiza bahati...
Wanateknolojia habari ya j2
Kama mada inavyojieleza
Naomba mnijuze app nzuri ambayo nikiiweka kwenye simu yangu nazuia SMS na calls zisiingie kabisa kwenye simu yangu.
Kuna baadhi ya app...
NIMECHOKA BAADA YA KUSOMA HAPA MASWALI YANGU KICHWANI KUHUSU HAWA JAMAA YAMEISHA
How Google detects AdSense click fraud
Google AdSense click fraud detection.
The famous AdSense network is one of...
Kama inavo eleweka kuwa google ni mtandao kwajili ya kusearch yaani (Search Engine) kwa wengi wetu tunaifahamu google lakini sio kiundani sana kwa maana pia google inatumika sana sana na watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.