Mambo zenu wakuu?
Nilikuwa natumia Samsung Note Edge imeniharibikia na nilipoenda kutafuta nyingine kwa lengo la kununua mpya nimeambiwa batch hii haikutoka tena hivyo ni out of stock.
Kiukweli...
Kwa muda mrefu mtandao wa techradar umekua ukiaminika sana ktk uchambuzi makini wa simu na mambo ya technology.
Leo nimeamua kuleta hii mada ili kumaliza ubishi ni ipi
The best phone of 2017...
Habari wana jamvi. Kama kichwa uzi kinavyo jieleza, nilikuwa naomba msaada namna ya kufunga ving'amzi hata ikiwa aidia tu au maelezo mafupi ya namna yakufunga ving'amzi. Napenda sana hiyo fani.
Habar wana jf,nimetokea kupenda gairi hii kwa muda sasa,katika pita pita zangu kuna rafiki yang alikua nayo ni ya mwaka 1999 non turbo,ina cc 2000 manual gear,anaiuza milion 4 na ninamba...
Ndio Ni bure!! (Kama unatamani kutengeneza Blog na uweze kuingiza hela kupitia hiyo blog hii ni fursa kwako)
Kama una blog na umeshindwa Kuiweka kwenye mpangilio Mzuri
Kama una blog na una...
Unasubiri Nini?
Ewe Mmiliki wa Blog au Website hii ni zaidi ya Adsense.Juhudi na Maarifa ni Shina la Maendeleo.Jiunge sasa na
Register | PopCash.Net
Malipo Papo Hapo..
Sharing Is Carring
Poleni na majukumu wakuu. Msaada tafadhali laptop ya imechange screen ghafla wakati naitumia tatizo ni nini......imekuja kama mistari mistari na rangi ya screen imebadilika
cc@chief mkwawa
Wasalaam , kuna hii simu yangu tajwa hapo juu ilianguka na kufa display nimekiweka tu ndani kwa mda sasa. Nataka kuifufua nimejaribu kupita kkoo bei nimetajiwa 280k mpaka 300k hapo ikijumuisha na...
Wadau nina kuna tatizo kwenye hii simu yangu.. simu tajwa hapo juu nikiicharge inajaa mpaka 70% tuu... kuanzia hapo haiendelei hatakama ukaicharge siku nzima... haifikishi 100% battery.
Sijui kama...
Cim yang inasumbua mahal nlipo n kijiji san inasoma E tofauti ba zaman nlivokua mjini kat af napata shid mtandaoni coz ina serch mdaa mrefu san mweny kujua application itakayo nisaidia kutumia...
Habari wadau. Naomben kujua kama kuna uwezekano wa kubadilisha camera ya simu ya smartphone yaani kubadilisha lenzi kuweka nyingne. Kwa mfano now camera yangu ni mp 3 nije niweke 5mp? Je...
Nimeinstal FIFA 18 inacheza kwa kunasanasa pia vichwa vichwa vya wachezaj havionekani, na watch dog 2 yenyewe inaleta msg 'unable to locate uplay pc, please reinstal uplay pc tafadhari msaada...
Taxi drives wa Tanzania pamoja na ICT professionals wanashindwaje kuunda system kama ya hawa UBER na kuachana na mifumo ya zamani ya kusubiri abiria wa taxi ndio amfuate dereva.
Guys let's be...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.