Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Jamani wanajf wanzangu nime-download game kwa pc lakini kila nikichomeka pad naona hazifanyi kazii so selewi nakosea wap au shida nini
0 Reactions
2 Replies
500 Views
Nina 200$ je naweza kupata simu gani online, vigezo muhimu battery, camera, and am a gamer too! Isiwe window au iPhone, Android only
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Laptop yangu ni acer aspire keyboard [emoji446] imekufa.. anaeweza anichek PM tafadhali
0 Reactions
0 Replies
541 Views
wadau naombeni msaada,laini yangu ya Zantel haionyesha signal kwenye Tecno w4 na setting ziko sawa,tatizo ni nini!
0 Reactions
2 Replies
924 Views
Kwanza ningependa kutoa shukrani zangu kwa wana JF kupitia wao nimejifunza mengi na Leo nipo jukwaa hili lengo ni kuendelea kujifunza sababu knowledge is power. Nipo katika harakati za kutafuta...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nilishawahi kusoma thread moja humu JF jamaa alikuw anazungumzia kuhusu watu kujifunza softwares mbali mbali na kati moja aliyoigusia n SAP.Ckuishia kusoma tu nlienda kuitafuta niijue na kutafuta...
0 Reactions
0 Replies
653 Views
Kwa watakao kuwa interested kufahamu tips mbalimbali in web design waweza request kitu gani ungependa kujifunza na nitakitolea maelezo ...... 1.jinsi ya kutengeneza simple log in form 2.jinsi...
0 Reactions
4 Replies
927 Views
Habari za muda wakuu naomba kujuzwa jinsi ya kuweka games katika ps3 ambayo bado haijafanyiwa JAILBREAK kea kua niko nayo moja hivi yenyewe haina MULTIMAN na ina game ndani yake sasa naomba msaada...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Habari wakuu! Naitwa Alvin ni mgeni humu, nimeona sio mbaya nikijielezea kidogo mimi ni nani na utaalamu wangu ni nini.. Kama nilivyotaja jina langu pia ni mhitimu wa chuo cha KITM kilichopo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za majukumu wadau wa jukwaa hili. Nina mpango aa kunua hiyo simu tajwa. Nimeipenda umbo lake lakin mambo ya kuhusu processor sijui. Pia nimeona ina super amoled. Naomben kwa anayeijua...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kwa wale watumiaji wazuri wa internet nadhan hapa watakuwa wananielewa. kulikuwa na PD Proxy hii ilikuwa na speed nzur sana ukilinganisha na Tunnel Guru sasa nauliza wataalam je kuna uwezekano...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Salam, Naomba msaada wa kupata download ya Biblia ya Kiswahili. Asante
1 Reactions
25 Replies
148K Views
Wadau habari zenu Lengo la kuanzisha huu Uzi ni kutaka mnisaidie nahitaji kuwa hacker na nimesha anz kupitia baadhi ya matini ya hacking issues.naomba mwongozo wenu juu ya matini yaan vitabu...
1 Reactions
46 Replies
7K Views
Wakuu jana nilijitokeza kumshuhudia mheshimiwa Rais akiwa jijini Arusha, Uwanjani shehe amri abed Nilivutiwa na maonesho ya Askari wetu kwa Ujumla ila kitu kilichonivutia na Kutaka kukijua ni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wana jamvi! Naomba kujuzwa hii kanuni mpya za mitandao na ada zake maana hapa naziona ni kubwa mno yaanai kuwa na website lazima ulipie ada ya 1M au kwa mwaka hata km website yako si ya...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
These are all GPU(Graphic Processing Units). They are used for optimised and extra graphic quality for images and videos and Games. Adreno Adreno series of GPUs are developed by Qualcomm (a...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kujua bei ya Motorola moto e4 plus kwa sasa najua imetoka June 2017 nipenda sifa zake naomba anaye jua bei yake kwa sasa asante
0 Reactions
0 Replies
912 Views
Nawezaje kuweka game la mpira kwenye pc?
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Corn mix jana imenisumbua balaa naomba msaada jamn nimeskimu laki mawimbi hayaishi
0 Reactions
0 Replies
542 Views
Wadau natumia window 10 kwenye pc yangu,sasa majuzi baadhi ya apps zmekuwa blank Icon kama microsoft edge, photo viewer mwenye ujuzi wa kuzirudisha normal tafadhali.
0 Reactions
6 Replies
710 Views
Back
Top Bottom