Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Mwenye mashine au circuit ya tecno W3 au tecno C8 naomba niuzie ;bei maelewano nitafute kwa namba hii 0782962538 tuma sms kama unayo nitakupigia tueleeane nipo dar ;ubungo msewe. Sent using...
0 Reactions
0 Replies
941 Views
Is it possible to perform the above process anyhow? DOXA
0 Reactions
0 Replies
408 Views
Sent from my iPhone using JamiiForums
0 Reactions
1 Replies
418 Views
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding. Huu ujumbe naupata ninapo peruz jamiiforums je nawezaje ku enable javascript kwenye...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Toka mwaka 2014 baadhi ya simu nyingi toka Asia hasa India ukigeuza kwa nyuma utaona Android One hata kama kama zimetoka kampuni tofauti. Umewahi kujiuliza kwanini Android One ni kitu gani...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu, Je! Ni uvumbuzi upi wa kale kwa kipindi hicho ulikuwa wa kisasa zaidi na teknolojia ambayo ilikuwa bora zaidi? UVUMBUZI WA IRON CLAW Kutokana na historia kuna hiki ambacho kilitengezwa na...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari, Naomba kujua jinsi ya kuunganisha hii hdd kwenye pc, nadhani ni hdd ya server(sina uhakika)
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za kazi wadau,nilikuwa najisajili katika mtandao wa PAYPAL kwa ajili ya manunuzi mbalimbali lakini kuna kipengele cha kujaza postal code,nilivyojaribu kuweka postal code ya mkoa wa mbeya...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari za majukumu!!! Msaada juu ya upatikanaji wa satellite internet dish kwa matumizi ya internet kwa Tanzania hii ni sehemu gan naweza nunua. Na gharama yakr je? Msaada kama kuna mtu anayejua...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Wakuu, Naomba niende moja kwa moja kwenye mada ambayo nimejaribu kuhainisha jinsi ya kupata na kujifunza ujuzi wowote 1.Jiwekee mfumo wa kijifunza ujuzi unaopenda/unaoutaka. Ili uweze kupata...
3 Reactions
7 Replies
4K Views
Msaada tafadhari namna ya kupata PUK code za line ya tigo. Tatizo hili limeanza leo mchana baada ya kubadilisha line. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu habari ya muda huu, ninapatwa na shida hii katika Laptop HP 630 CORE I3. Chrome pamoja na chromium zote hazifunguki. Zinaleta ujumbe huo. WINDOWS INTERNET EXPLORER INAFUNGUKA LAKINI...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu PC yangu window 8 iko severely damaged na virus Kila file naloweka linaliwa MSAADA PLZ [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habarini wana Jf, na poleni na majukumu ya kila siku, naomba kufahamu, nimedownload kitabu kwenye simu yangu na nilikuwa nauliza kuna app inayotafsiri kitabu kama vile inavyofanya Google Translate?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dell latitude e6420 Processor ... intel core i5-2540M @2.60ghz (4 CPUs) 4GB ram HDD 250GB Price = 300,000 Location Tabata segerea Ukihitaji picha sema niweke hapa Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
3 Replies
792 Views
Forever IPTV (3500+ HD&SD live online) Foever IKS (Europe, Africa and Middle east)
0 Reactions
3 Replies
2K Views
At the time of the presentation of the new Xiaomi Redmi Note 5, the Face Unlock was highlighted, that’s the chance of using the facial unlock to access the smartphone. At the time of turning on...
0 Reactions
1 Replies
833 Views
jamaani projector yangu tangia jana imegoma kutoa mwanga, mwenye ujuzi na hili tatztizo anisaidie please
0 Reactions
2 Replies
607 Views
Habari za leo rafiki? Ni matumaini yangu kwamba upo vizuri na unaendelea kuweka juhudi kubwa kwenye kile ambacho umechagua kufanya kwenye maisha yako.karibu katika makala hii. Steve Jobs alikuwa...
8 Reactions
8 Replies
5K Views
Wadau habari simu yangu ya nokia ya tochi jioni ya leo naiwasha inaniambia niweke security code wakati sijawai set kitu kama hicho nini suluisho lake Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Back
Top Bottom