Heshima kwenu nyote.
Naomba msaada wenu, natumia Dell latitude E6400 na window 8.1 lkn imekua haitaki kabisa kuunganishwa internet kwa WiFi.
Mwanzoni hili tatzo halikuwepo na lilipoanza tu...
Binafsi nimevutiwa sana na gari ya aina ya BMW 3 Series (318i) na Subaru Impreza. Lakini kabla sijafikia uamuzi ni gari gani ninunue kati ya hayo mawili ningeomba ushauri wenu wana-JF hapa jamvini...
ni masikitiko yangu kwa TCRA yan kwa sheria zao mpya hizi ni ngumu xana kwa bloggers wadogo wadogo kukua kiukweli ni masikitiko tu kwa wale bloggers wote ambao walikua wanachipukia
Natengeneza platform tajwa hapo juu, Nakaribisha maswali na ushauli
Cross Platform Apps
Cross Browser Web Sites
Cross OS Software
Ni pm kama unaitaji kutengenezewa chochote apo
Nashindwa soma reply ya post zang nikufungua napata ujumbe "post does not exists or you don't have permission to access it!" Nsaidien
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina siku mbili nimenunua simu mpya aina ya ite l a31 smartphone lakini tatizo lake imekuwa inajizima n kujiwasha yenyewe randomly,inafika muda hata mawasiliano yanakatishwa katikati
Nimejaribu...
Habari wakuu... Naomba msaada wa jinsi ya kuunganisha na kutumia controller pad za Power A kwenye FiFa18 kwenye PC. Nimeweka kawaida lakini hazijasoma. . Natanguliza shukrani.
Wakuu simu yangu iliingia kwenye maji lakini niliiwahi kuitoa na ikaonyesha haina tatizo lolote,sasa hii jioni nimeweka charge haiingizi mpaka niizime na nikichomoa charge yaonyesha bado...
Ndugu wana jamvi, salamu.
Nina laptop aina ya dell yenye windows 10 pro inatumia bando vibaya saana. Nimejaribu ku deactivate updates zote zinazoweza kufanyika automatically lakini sijafanikiwa...
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavosomeka. Laptop yangu DELL INSPIRON 14-3452 nikiiwasha inaleta huo ujumbe na inanipa options za [ f1 retry boot] [f2 for setup utility] na [f3 to run onboard...
How to Unroot Android
Rooting your device can give you a lot more control over it, but it also will usually void your warranty and make repairs a hassle. Luckily, you can quickly unroot most...
Wakuu mimi ni mwanafunzi nategea kuzama chuo, so nahitaji usaidizi wa tablet nzuri hasa kwa ajili masuala ya chuoni.
Kuna tab nimeiona kwenye mtandao wa www.jumia.com ni ccit iOS one , sikuwa na...
Hbr za leo wakuu. Naomba kupata msaada wa namna ya kutengeneza Camera ya simu yangu aina ya Samsung Galaxy A8. Kwa ss nikifungua Camera yake inasema "Warning. Camera failed" Lkn nikiweka simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.