Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Checkini hiyo picha hapo Jee inawezekana kwa cc wa mikoani na tukapata channels za kutosha? Kwa wastani mtu aliyefunga hivyo anaweza kupata jumla ya channels ngapi?
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Watumiaji wengi wa iPhone wamekuwa wakikumbana na tatizo la kufutika kwa data na nambari za simu zilizohifadhiwa.Kwa kawaida, programu mpya ya usasishaji inapoingizwa na kuendeshwa na Jailbreak...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habar wana jf Ningependa kuuuliza je ni kozi gani anaqeza kuchukua alie SOMEA IT AU ICT kwa level ya chuo kikuuuu
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wana jamvi . samahanini sana pc yangu imezima ghafa tuu . ni kwa mda sasa haitumiki mara kwa mara. Ni deli na ina run dual operating system window ten na ubuntu . sasa imezima haiwaki ...
1 Reactions
7 Replies
878 Views
wakuu kuna jamaa zangu wametengeneza hii app ya kutoa taarifa za dawa kwa watumiaji. https://play.google.com/store/apps/details?id=tzdawa.app.mwakalonga.dawa
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari wakuu... leo nimetoka nunua nokia 6 na leo hii hii nikadondosha imecrack vya kutosha.... wapi naweza pata Touch yake?
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Msaada jamani, simu yangu ni tecno J7, huyo mwenye sm inayotuma SMS nikimuuliza hajui chochote zaidi ya kutoa macho tyu
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari zenu wasomaji wa makala zetu, Leo tunelezea jinsi ya kuunda whatsapp link invite Group ambalo sio jambo geni sana kulisikia Kama unataka kuunda/kutengeneza link ya kujiunga katika Group...
3 Reactions
4 Replies
24K Views
Jamani kama kichwa cha habari hapo juu, natengeneza na kuuza nauza food ordering and delivery System kwaajili ya wamiliki wa restaurants na Migahawa . App hiyo inawezesha wateja wako kwa kutumia...
0 Reactions
0 Replies
850 Views
Kama nilivyoeleza hapo juu naomba kwa mwenye software na stock rom file ya samsung galaxy note4 sm-n910t T-mobile usa. Au anipe link ya kudownload bure aksante
0 Reactions
6 Replies
3K Views
1.God of war 4 2.Darksiders 3.Far cry 4.GTA 5 5.Watch dogs
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Naomben mwny uelewa wa jinsi ya kubadr username hapa jf
0 Reactions
9 Replies
5K Views
wakuu natumia samsung note 8 shida yangu sasa ni kuwa nikiweka laini ya halotel napata ujumbe unasema USIMCARD REMOVED RESTART UR PHONE na automatical inajirestart yenyewe but kwa lain zingine...
0 Reactions
9 Replies
971 Views
Habari wakuu nahitaji box ya kuflashia simu iwe miracle box au Volcano, pia kama ikipatikana nyingine inayoweza kusupport simu zenye chipset ya mtk, spd, etc. Box iwe mpya au used, location...
1 Reactions
2 Replies
924 Views
Wanajamvi napenda nifahamishwe kitu kimoja. Hua natengenza tutorial za screen capture kwenye laptop yang natumia program ya Webcam Au cyberlink ambayo ina uwezo huo lakin tatizo lipo kwenye sauti...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Heshima kwenu Wadau wote wa Mtandao huu wa Jamiiforum popote mlipo. Kwa muda mrefu nilikuwa nikitengeneza Website itakayohusika na masuala ya Engineering ambayo walengwa hasa ni Wahandisi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu nimekuja na trick mbele yen Ni jinsi ambavyo utaweza kuangalia videos YouTube free bila kuwa na data trick Hii inafanya kazi kwa watumiaji wa mitandao yote gharama Ni nafuu 15000...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Ubora wake upo vipi, zinadumu au baada ya miaka kadhaa zinakufa?
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Wordpress in moja kati ya mifumo kadhaa tofauti ya kusimamia maudhui ya tovuti na blogu.Wordpress in mfumo ambao ni bure kutumia kwani unatengenezwa na watu wanaojitolea kwa kuboresha mfumo huo na...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom