Habar za muda huu wakuu....nina tatzo nahitaji msaada Akaunt yangu ya instagram imedukuliwa (hacked) naomba yeyote mwenyewe uwezo wa kufanya chochote ili irudi anichek PM ama kwa namba yangu ya...
Nawasalimu kwa jina la bwana Yesu Kristo.
Kanisa linataka kununua wireless microphone kwa ajili ya matumizi ya kanisa. Ninaomba mnielekeze juu ya brand nzuri kwa bei isiyozidi 250000. Na ushauri...
Nimepata bahati ya wiki yote hii kutumia fiber ya simbanet (kwa ajili ya biashara), hii internet ina latency ndogo kiasi kwamba unaweza hadi kusahahu kama unatumia internet. Ni bundle ya 5mbps na...
Java.
classHelloWorld{publicstaticvoidmain(String[]args){System.out.println("Hello World!");// Prints the string to the console.}}
Swift.
println("Hello, world!")
Python
print("Hello World")
Mimi ni mzalendo, nimeitikia wito wa kurudi nyumbani kwa sababu kumenoga!!
Sasa cha kushangaza, TTCL inapatikana baadhi ya maeneo na maeneo mengine haipatikani kabisa, sijui nini shida.
Lakini...
Miaka 4 iliyopita matangazo ya IT services kama blogs, website, database, payroll system, hosting, software and hardware maintenance yalikua on fire kweli kweli so what happened now days?
Kwa...
Kuna wakati ukiwa una cheki video za youtube kuna uwepo wa matangazo (ads) ambazo kabla video haijaanza huwa yanatokea na kuna option ya kuyaruka kwa kuminya "Skip Ad", Je haya matangazo yapo...
Kwa kununua dish la Free Channel, utapata Local Channels karibu zote, kama sio zote kutegemea na eneo, pia utapata channels za nje zaidi ya 40 ikiwamo TB Joshua, Al Jazeera, Muvi TV, Nollywood...
Habari wana JF, Natumaini wote hapa mko salama na mnaendelea na shughuli zenu za ujenzi wa Taifa. Leo hapa Tanzania Tech tunafurahaa kuwaletea huduma mpya ya INMylinks.
INMylinks hii ni huduma...
wanabodi,
huwa najiuliza hili swali kwa nini makampuni makubwa kama vile Facebook ,yahoo,Snapchat nk. huwa yanatoa taarifa hadharani Mara udukuzi unapokuwa umefanyika kwenye mitambo yao hata kama...
sumsung baada ya kutoa sumsung galaxy note 9 huku wakiisifu kwa hali ya juu kuwa ina speed kubwa huku ikiwa na prosesa ya snapragoni 845 lakini haijafua dafu kwa iphone xs max huku iphone xs max...
Habar wana jf
Tufunzane kidogo kuhusu hili hiv ulishawahi kujiuliza whatsapp zinaweza kaa mbili kwenye simu moja na namba inakuwa moja au vip bac najua wajua namimi nakujuza
Inawezekana kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.