Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
jana google wametoa toleo lao la google pixel 3 likiwa limeiga kutoka apple likiwa notch je watashindana na apple ? Google Pixel 3 - Full phone specifications
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu ni kwa namna gani naweza kuitafuta simu ilipotea kwa kutumia IMEI Number?
2 Reactions
15 Replies
5K Views
Habari! Tume waletea huduma bora ya ku Unlock Iphone Yako bila kuweka GEVEY ili kuweza kutumia laini kama kawaida Gharama ni nafuu.. Iphone 5,6+,7+,X Muda wa ku Unlock Dakika 20,15 Fika Ofisini...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu zangu, naomba msaada namna ya ku secure i pad ambayo password zake zimesahaulika kwenye upande wa iClaud naomba kujulishwa namna bora ya kufanikiwa...maana siwezi kupakua...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nina application nimeitengeneza na ipo live sasa ,hii application inahusika na kuonesha live streaming video ,mfano mpira unaochezwa Ulaya unaweza kuuona live kwenye simu yako kupitia application...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu nasikia kuna app inaweza ficha Apps zote zisionekane ktk simu ni ipi hiyo?Napenda jifunza tu wala sina nia ovu.
0 Reactions
16 Replies
6K Views
JINSI YA KUONDOA ERROR 77 KWENYE MITA ZINAZOANZA NA NAMBA 2421...* *ERROR 77* Hii ni error ambayo inapatikana kwenye mita tengano maarufu kama mita za rimoti au CIU ambazo zinafungwa juu ya...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
JINSI YA KUFUFUA FLASH ZILIZOKUFA Najuwa raia wengi sana mmejaza flash ambazo ni mbovu majumbani kwenu au kama sio hvyo mmeshatupa flash nyingi sana kisa zimeharibika pasipo kujuwa flash yako...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomben msaada wa Photoshop software japo cs6 hata 5. Kwa mwenye nayo tafadhali naiomba
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Wale wapenz wa NFS series..baada ya kusubir crack kwa muda mref hatimae imetoka... Pakua hapa hii ya fitgirl Download Need for Speed: Payback - Deluxe Edition (v1.0.51.15364 + All DLCs, MULTi10)...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, hawa jamaa wami-encrypt faili zangu na software zangu huku wakitupia text hii. Pitia mnishauri plse ---= GANDCRAB V5.0.2 =--- ***********************UNDER NO CIRCUMSTANCES DO NOT...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Nimeona tigo wanaiuza Tshs 450000/= Ila inaonekana ni ya kizamani sababu ina betri ya kutoa. Vp ubora wake? Kuna mtu anaiuza kwa shs 300000/= na haina mwezi tangu amenunua. Cc. Chifu mkwawa
0 Reactions
6 Replies
2K Views
C&P from Evarist Chachali Tukubaliane kwamba japo wengi wetu twapenda kutumia mtandao, hususan kutembelea mitandao ya kijamii kama vile Faceboo, Twitter, Instagram, nk bado kuna uelewa mdogo wa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Nina simu aina ya tekno spark KA7,tatizo ni kuwa ukituma message inagoma kwenda na ninakifurushi cha mwezi kabisa na kuna mda unakubali ila inabagua laini.wakuu wenye uelewa anisaidie
0 Reactions
10 Replies
963 Views
Naomba kujuzwa aina gani ya camera kwa ajili ya video na picha pia ambayo ni nzuri ambayo pia inapatikana kwa bei ya kawaida. Natanguliza shukrani.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
salamu wadau najaribu kuinstall window 7 kwenye dektop yang but ikifika ile hatua karibu na kumalizia inaniandikia "window cannot install required files. the file may be corrupt or missing. make...
0 Reactions
4 Replies
844 Views
Kama IPO tuongee biashara
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu, nina techno w5 niliifanyia factory reset sasa wakati wa kureboot nimekwama imeleta option ya Kuunga Wi-Fi nikijaribu kuunga inataka niwashe Wi-Fi nasijui hiyo Wi-Fi inawashwaje.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari wadau... Naomben mnisaidie pdf reader ya pc Natumia window 7, nimejaribu adobe acrobat imegoma ku install...
1 Reactions
6 Replies
934 Views
Wadau najua kuna thread nyingi tofauti tofauti, ila nimeona nifanye kitu hiki kwani mimi ni mmoja wa wahanga wa luku. ninaishi kwenye nyumba ya kupanga, sina vitu vya kiviile vinavyotumia umeme...
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Back
Top Bottom