Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Msaada pc yangu inatumia window 8.1, tatizo window defender haifanyi kazi ingawa shortcut yake ipo ila nikijaribu kutafuta kwenye orodha ya app inakosekana.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Natumia Simu ya Android ....nataka kudownload whatsaap web ila playstore haipo siioni ...na Google pia inagoma ....msaada plz naomba .......kuna uzi uliwekwa mda kidg kuhusu kuhack simu inabd...
0 Reactions
96 Replies
6K Views
Deki haitoi rangi kwenye picha tatizo ni nini hasa
0 Reactions
2 Replies
558 Views
Kama heading inavyosomeka hapo juu wadau naombeni msaada , deck inasoma "no disk" CD zote nimejaribu nimachemka Ila kwa jirani zinafanyakazi kama kawaida.
1 Reactions
5 Replies
914 Views
Habarini wana Jamvi. Kuna settings yoyote unaweza ukafanya kuifanya simu unapoandika message isikusahihishe? Masahihisho yake mengi inaleta tofauti na ninachotaka mimi.
0 Reactions
4 Replies
585 Views
RCD ni kifaa kinachotumika kwenye mfumo wa umeme iwe majumbani au viwandani na kinakuwa na uwezo tofauti tofauti kulingana na mhali kinapotumika. RCD nyingi zinazopatikana ni 30mA,100mA na 300mA...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Ninahitaji msaada, Nina printer moja inayoweza chute copy na pia ina fax (wanaziita hizi All-in-One), sasa naamini naweza kutumia namba ya simu ya mkononi kama Fax number na kuiset kupokea...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari za muda huu waungwana...naomba kujuzwa...huu mtandao bado upo?..nina simu ya mezani ya sasatel sijaitumia muda..nimeiwasha naona imeandika NO SERVICE....Kama haipo je simu hyo inafaa ku...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Jaman naombeni msaada kwanini hizi sabufa za kichina mfano sea piano zinakufa mapema sana haswa kwa sauti kubwa. Naombeni msaada na mwenye idea ya kutengeneza nimefungua nimekuta resistor zimekuwa...
5 Reactions
86 Replies
31K Views
Wakubwa poleni na majukumu ya kutafuta riziki, naomba kujua kwa wataalamu wa mambo ya kompyuta,je? Laptop yenye spesification hizi inafaa(inaweza) kucheza magemu heavy na kufanya kazi kubwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za jioni wadau. Ni siku nying hatujapeana salamu. Ninauhitaji na vitabu vizuri vya electronics vinavyo elekeza jinsi ya kusoma electronics na ku design Kama naweza pata sehemu au kwa mtu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jmn mweny game zuri la mission ila data off
0 Reactions
2 Replies
852 Views
HIZI SIMU ZA ITEL KUGANDA KWA LOGO IMEKUA TATIZO SANA WATU WANASHIDWA KULITATUA SOLUTION NYINGINE HIII HAPA NINAZO KAMA 4 SOLUTIONS.. ANGALIA NILIVO FLASHING DONE... DOWNLOAD...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Naweza anzisha route nyingine wakati nipo tayari nipo kwenye ubber. ? Yaani nataka kuchukua Ubber x mbili maana eneo nililopo XL hamna.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wana jf , ninaomba mwenye kujua naweza nikapata wapi disply ya sumsung galax s6 edge simu imeanguka na kioo kimepasuka touch hoifanyi kazi simu inaweka chengachenga sana. Nisaidie mwenye...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Katika interviews za utumishi huwa wanapendelea sana IDE gana hasa kwenye practical??
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wana jamii forum nimeamua kujichangachanga nikanunua simu samsung galax s6 edge mpyaaaa kweli kako vizuri ila hii simu nikiwasha data inaapata moto mnooo afu haitunzi charge, nikicharge...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Habarini wadau naombeni msaada wenu wa kitaalamu kama kichwa cha habari kinavyosema napata huo ujumbe kila ninapowasha pc yangu kwamba leseni yangu ya kutumia windows inaisha mda siyo mrefu lakini...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari? Nani anayo software ku hack whatsapp ya mtu?
0 Reactions
56 Replies
16K Views
Njoo nikutengenezee android application kwaajili ya website yako kwa gharama nafuu sana tuwasiliane kwa +255 759 702 766 info@clicktech.co.tz Km hauna website usijari nitakutengenezea nayo karibu
0 Reactions
0 Replies
526 Views
Back
Top Bottom