katika programing language hasa html5&CSS
ndio lugha nilio anza nayo na nahitaji kubobea katika hii lugha na
web designing
ila kuna changamoto mbalimbali
amazo zinanikabili
katika safari yangu...
Heshima kwenu wakuu.
Kama mada inavyojieleza naomba mnisaidie app inayoweza kurekodi internal sound/audio. Au sauti wimbo unaocheza online kwenye site za music ambazo hazina option ya...
Wanasayansi kutoka vyuo vikuu vya Harvard na Yale wapendekeza njia ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa
Kwa mujibu wa tatifiti walizozifanya wamebaini inawezekana kupulizia kwenye anga...
Nahitaji ambaye anaujuzi wa kuunganisha bando ya internet mtandao wa Vodacom kwa gharama nafuu tofauti na vifurushi vilivyo rasmi. Malipo yawe baada ya huduma, nasubiri ofa...
Msaada wadau, timu za england hazina jezi official naombeni msaada namna ya ku import kama inawezekana pia kwa pes17 naona spain napo hazina jezi official,, zote ni pc games
Habari ya ijumaa.. Si vibaya tukazidi kupeana elimu kidogo huku tukiendelea kufurahia vema siku muhim leo ya duniani kote ya (BLACK FRIDAY).
Ningependa kukueleza jambo moja kuhusu matangazo ya...
wadau naomba msaada wa namna ya kuifanya mtandao wa instagram zile video zisiplay zenyewe, si mnajua mb zenyewe za kuungaunga,
natanguliza shukrani[emoji1317][emoji1317]
Nmeangusha HDD kutoka mezan na nlipokonekt ktk PC ilionesha partitions tu ikabid niifungue kuchek ndan kulikon! !!
Hv sasa inaspin tu pas kuonekana ktk PC.
Tafadhal Mwene utaalamu na HDD anisaidie...
Helow wadau, naomba msaada wa kimawazo.. Technically
Leather sofa yang ya ngoz rangi ya cream imechafuka wino kdgo,..... Ninahitaji kufuta je ni solution gan inafaa kuondoa!? Nilinunua solution...
Habari wakuu.
Nimekuwa nikipata tatizo siku za hivi karibuni(ambalo limekuwa ni geni kwangu).
Nikiinstall MS Office,napata message hii :"Microsoft Setup Bootstrapper has stopped working". Wakati...
Wadau habari za mchana,,mimi sina maneno mengi sana zaidi nataka kufaham matumizi ya black list kwenye simu.. Kuna jamaa yangu anadai kuwa ananitumia text lakini mimi sizioni yeye anasema ujumbe...
Katika ulimwengu wa leo nywila au password si jambo geni. Mara kadhaa umeona au kutumia password katika vitu na maendeo kadhaa kama vile benki, simu, kompyuta n.k. Jambo la kushangaza ni jinsi...
Wizi ni wizi tuuu!!!uwiano wa dakika tunazouziwa na mashirika ya simu ni tofauti na dakika za SAA zetu???na kama ni sawa mbona zile zinakimbia sana??hivyo hivyo MB tunazouziwa ni tofauti na mb...
Nahitaji kununua simu aina ya tecno K7. Nimeipenda kwa sababu ina **fingerprint**
Je, ni kweli fingerprint haitaruhusu mwingine kufungua au kutumia simu yangu? Yaani hata kama anaijua password...
Samahani ndugu zangu ninashida kwenye king'amuzi changu cha Startimes cha dish. Kilipoteza baadhi ya chanel nikafanya factory reset . Sasa ninapoendelea kusearch inagoma kupata chanel na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.