Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Juzi waliniletea Ni update simu yangu nimekuwa nikifanya hivyo kila update mpya ya iOs Inapotoka Sasa Juzi baada ya Ku update simu yangu,Nimekuwa napata tatizo la CALL VOLUME,Inakuwa Low Sanaa...
0 Reactions
2 Replies
510 Views
Je Wajua umeme ni Nini? (What is Electricity) Kabla hatujaanza kupata taarifa na elimu kuhusu umeme kwa ujumla ni lazima tukajua umeme ni nini. Hii itatusaidia kuweza kuanza pamoja na kujua...
2 Reactions
8 Replies
9K Views
Wadau naomba msaada wenu, nahitaji kujua nifanye nini ili niwe napata ujumbe wa SMS za watu waliokuwa wamenipigia pale simu yangu inapokuwa haipo hewani? Natanguliza Shukrani zenu wakuu. natumia...
0 Reactions
6 Replies
693 Views
Nina hitaji Iphone 6s plus GB 64 Itapendeza mwenye nayo tufanye biashara.
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kila nikidownload WhatsApp inajiinstall baada ya masaa machache haifunguki inaleta ujumbe wa WhatsApp is to old "download" new nikidownload inaleta hivyo hivyo
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hey there everyone, Leo nimeona niwashirikishe members on what i think is a good way to earn an extra income online. It is through freelancing website fiverr(link mwisho wa post) Nimekuwa member...
1 Reactions
46 Replies
11K Views
Habari ya jukwaa pendwa, naomba mnisaidie shida ya printer tajwa hapo juu "ON lamp and ALARM lamp light flashes alternatively 22 times" when printer is switced on
0 Reactions
0 Replies
416 Views
UKIANGALIA katika simu yako ni dhahiri Application nyingi ulizopakua ni za bure. Wote tunapenda App za bure. Mara nyingi App za bure zina gharama ya faragha (privacy) wakati wa kuziingiza...
2 Reactions
12 Replies
9K Views
Wakuu habari za kazi. Nime download software 6.5 gb iliyo compressed katika Winrar lakini imewekewa password. Nimeelekezwa kupata password mtandao fulani lakini naona kila nikienda huko...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu . Nakuuzia file lake kwa shilingi elfu 10 tu utaflash simu na itakaa sawa coz ni tested file by me also i confirmed that for 100% percentage u will...
0 Reactions
1 Replies
911 Views
naombeni msaada wa kuondoa E0000-0000 kwenye photokopy mashine Ir 2202 ilianza na error E200-0000 nikaondoa lakini sasa inaonyesha hivyo nimejaribu kuondoa haitoki msaada kwa uzoefu zaidi
0 Reactions
0 Replies
554 Views
Wakuu kama kuna mtu ana ujuzi wa kuunda app na bei zake ni affordable namuomba pm....
0 Reactions
1 Replies
770 Views
natumai wote ni wazima hapa jukwaani bila kuchelewa naomba niingie kwenye point hapo nyuma kwenye mwezi wa 10 nilinunua simu aina ya iphone 6plus kwa mshkaji katika process ya mauziano jamaa litoa...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wana jamvi? Natumia window 10 katka pc, sasa siku za karibuni nimekuwa nikitumiwa message your window licence will expire soon, nimeenda katika option ya setting, nika donwload ili ni...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wakubwa. Naomba msaada jinsi ya kuondoa root kwenye sim ya galaxy s8. Nitashukuru kama nitapata msaada unaoelekeza mwanzo mwisho jinsi ya kuondoa root maana mimi sio mtaalam wa haya...
1 Reactions
32 Replies
5K Views
KASI Internet is a new Internet access Solution from Vodacom Plc that provides you with unlimited data connectivity. With KASI Internet you are able to browse and surf the web, send emails...
2 Reactions
33 Replies
9K Views
Ukuwaji wa teknolojia unazidi kurahisisha mambo wachina sasa kugundua /kutengeneza mwezi utakao tumika kama taa za barabarani >
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hello family , i am kindly asking for guidance on how to implement my final year project at the college. My project proposal was about how you can detect leukemia at the early stage using machine...
0 Reactions
1 Replies
430 Views
**********************
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom