Hello Technicians!
Mimi ni 'old school' kidogo na niko natumia simu hii bold 9000. Sasa nina changamoto kadhaa.
1. Nilikua nikitumia kifurushi cha Vodacom Social nilikua nina access net bila...
Tatizo hili hutokea pale tu inapofutika IMEI number au baseband file, kama una tatizo kama hili inabidi uangalie kama IMEI number au baseband inasoma null.
IMEI number ni rahisi kuiangalia kama...
Nimelala nikaamka na akili zangu za usiku, nikawaza sanaa, Kwa nini app, system,site nyingi za Tanzania huwa zinazaliwa na kufa kwa muda mfupi? Kwa nini hazitoboi? kwa nini hazipati nafasi ya...
nimefanya research nimegundua Subaru forester ni gari nzuri hasa kwa barabara zetu na hali halisi tuliyo nayo
parts za subaru kama bolljoint, shock up,cv joint,rack hand zinadumu kwa muda mrefu...
wakuu sina hakika kama hapa ni mahali pake.
naomba msaada jinsi ya kubadilisha jina kwani
ningependa kubadili jina nitumialo "kafara". hata hivyo nimeshindwa
pata jinsi ya kufanya hivyo...
Kwa wale wajuzi naomba mniambie kama ninaweza transfer funds from paypal kwa kulink payoneer master card coz kuna client wangu ameanza kulipa via paypal siyo payoneer au bank wire tena kama...
Nimekuwa nikikumia App ya ZeMGame kwa miezi mitatu sasa, Katika hii miezi mitatu idadi ya wateja katika baa yangu imeongezeka kwa asilimia 93%. Hii ni kutokana na kuwa ZeMGame imewawezesha...
Habari za usiku wadau wote wa umeme,, kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza tunajua kwamba imezoeleka wiring kwenye corridor fupi unaweza tumia switch mbili za 2 way na intermediate...
Nmeangusha HDD kutoka mezan na nlipokonekt ktk PC ilionesha partitions tu ikabid niifungue kuchek ndan kulikon! !!
Hv sasa inaspin tu pas kuonekana ktk PC.
Mwene utaalamu na HDD anisaidie coz...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.