Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
wasalaam wakuu!!!! kichwa cha habari chajieleza, pc yangu haitoi sauti na hii imesababishwa na kupiga window upya audio driver haijawa installed. nawasilisha
0 Reactions
12 Replies
2K Views
N nan anipe ubora wa Kingamuzi cha TING ambaye anacho na anaktumia.na je chane za bure zinaonekana iwapo kifurushi kimeisha
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kutokana na kukosekana kwa umeme wa uhakika na kupanda gharama za bei ya mafuta, umeme wa solar ndio njia mbadala wa kujipatia mwanga pindi giza liingiapo. Kwa mtaji kidogo unaweza kumaliza kabisa...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Siku nyingi huwa najiuliza hawa watu wenye application zao kule play store kuna kitu chochote wanafaidi kutokana na sisi kudownload application zao? Nikisikia kuna mtu anasema ukidownload app ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wadau wa JF, Kama mnavyojua kwa sasa mambo ya blogs yamekuwa tight kidogo katika nchi yetu and so wadau wengi wameamua kuhamia katika App na youtube channel. Natafuta wadau watatu au 5...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wadau naomba altenative ya kufanya ili niweze kulipia hizi app playstore... Nimeenda CRDB waniunganishe toka mwaka jana wananipiga kalenda tu, je bank gani nyingine naweza fanyia malipo? Asanteni
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari za leo, Je, wewe ni mwanafunzi wa sekondari (A-level, au O-level) na unataka kuzama katika fani ya web design and development? Je, wewe ni mwanafunzi chuoni, na unakaribia kugraduate, au...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Mambo vp wakuu....? Cku zote ukiwa Kijana ni lazima kujifunza Mambo mbali mbali ktk Maisha yetu. Nmekuja hapa kuna Simu nmepewa na Jamaa yng kama Zawad. Hyo simu(Tecno S1) inatatizo. Wakat wa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Laptop yangu imekufa mkanda wa display, km kuna mwenye utaalamu na masuala hayo anicheki PC nataka kufanya replacement ya mkanda.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimevutiwa sana na ujio wa NOKIA sana sana specification zake pamoja na bei yake ambapo ina range 250k-270k! Betri 4100 mAh Kwa kua sijatumia brand ya Nokia naomba wenye uzoefu nazo wanishauri !
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndugu zangu naomba ujuzi wenu WhatsApp yangu haifanyi kazi kwenye Mobile Data mpaka kwenye Wi-Fi tu nifanyeje natumia Techno J8
0 Reactions
2 Replies
664 Views
Ni kipindi sasa napata ujumbe sms kutoka kwa mtu asiyejulikana sms hizo zinatoka jwenye namba 4636 na haipo kwenye contact zangu.Au simu yangu imekuwa Hacked na wajanja??
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Natafuta moderm ya kuingia line zote kwa bei rahisi kama unayo njoo PM tuongee biashara
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina document ipo katika Microsoft word na nataka niprint kwenye A3. Lakini nikicomand itoke, inatoka nusu. Kila nikikomand itoke kwenye A3. Hii document nataka itoke yote full page nimeshindwa...
0 Reactions
1 Replies
450 Views
Kama kunqmtu anaweza hii kazi kutengeneza au kampuni tafadhali piga hii namba tuwasiliane 0758844240
0 Reactions
0 Replies
379 Views
Jaman kuna ubishi kuhusu watsapp. Je ni kweli mtu anayeishi nje ya nchi lakin katokea TZ anaweza wasiliana na mTZ kwa kutumia namba ileile ya Tz? Mfano mtu kaenda china namba yake ni +255...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Natumia iphone 4 nashidwa kudownload vitu kutoka app store naomba kwa anaeweza ku upgrade nitamlipa 10000 napatikana dar gongo la mboto njoo pm
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Hamjambo wadau, Ninaomba kuelimishwa kama Mpesa Mastercard ina uwezo wa kutumika kulipia tangazo la biashara kwenye mtandao wa facebook. Karibuni wajuzi.
0 Reactions
1 Replies
931 Views
Jamani waungwana naombenie Msaada wenu Kunatatizo limetokea kwenye facebook account ya rafiki yangu.. Kwasasa rafiki yangu huyu hana simu janja takribani Wiki tatu sasa But Jana kuna mtu amepost...
0 Reactions
7 Replies
904 Views
Habari, Natafuta DC-DC Step down Convertor 5A Lithium Charger CV CC buck Step down Power Supply Module LED Driver New-in Integrated Circuits from Electronic Components & Supplies on Aliexpress.com...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom