Tunakutengenezea blog nzuri kwa sh elfu 10 tu na tunakuunganisha na matangazo ya kukulipa kila mwisho wa mwezi. Unatakiwa kuwa na simu ya smartphone au kompyuta tu ili uanze kutengeneza pesa kwa...
Nina freezer linanisumbua....limepungua nguvu ya kugandisha
now linafanya kazi lakini sio kama zamani
nimejaribu kubadili gesi na condenser kama nilivyo shauriwa
lakini wapi....
kuna mtu ana...
Habari zenu wanaJF.
naomba leo niulize swali hili kwa wajuzi wa mambo maana naamini humu ni kisima cha maarifa.. najua kuwa mamlaka yetu TCRA inao uwezo wa kujua unaowasiliana nao aidha kwa kupiga...
Jaman naomba msaada. Nataka ku-unlock simu yangu hii kwa kutumia fingerprint tu. Cha ajabu inatorce nitumie na pattern. Tafadhali naweza fanyaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
wadau naomba tuelezane ukweli hivi kweli mtu unaweza kutoboa maisha kwa kuwekeza kwenye cryptocurrency .
Nimeshangaa ethereum iliyokuwa imepanda mpaka $150 January 1 mwaka huu eti Leo iko $127 na...
Wakuu heshima yenu,Naomba kujua ni vifaa gani ninavyohitajika kuwa navyo napotaka ku configure mawasliano ya simu ya ndani ya ofisi yangu na pia ni wapi naweza kuvipata vifaa ivyo pia gharama zake...
Movie ya 1.5GB nimeishusha kwa dakika tano kwa simu
Simu yangu niliswichi 3G kwa mda mrefu sasa leo nikairudisha automatically 4G,3G, 2G ....nikaona imesoma LTE..nikajaribu kuingia YouTube...
Habari zenu wakuu,najua huku kuna wa2 wengi sana wanaoweza kufahamu sana na kuweza kunishauri ni ipi inafaa kati ya hizi,maana kwangu mimi hii ndo itakuwa mara yangu ya kwanza kununua gari
Xo ipi...
Habari wakuu!
Nimepata majanga simu zangu zimeharibika zote kwa wakati mmoja yaani zimepishana kwa masaa tu.
Infinix S2 Pro imevimba battery,Samsung J3 Prime imekata moto ghafla.Infinix...
Chif mkwawa, na wengine juzi nilipigwa kimeo changu cha nokia xl, so nilikuwa anti theft lakin ya kaspersky ambayo kiukweli haijanipa msaada wowote kama kuna mwenye uzi basi aulete namna ya kuiblock
Wadau salama,
Kwa wataalamu wa mambo ya miziki garini, namaanisha redio za kwenye magari nahitaji msaada kidogo.
Nimenunua Kenwood Radio ya kwenye gari model ya 2018 (KDC-X303)
Nahitaji kujua...
[emoji778].... *Ni kwann wenzetu nje ya Afrika* wanahangaisha ubongo kutafuta ugunduzi mpya wa mambo mbalimbali hasa ya technology,, lakini sisi huku Afrika hatuwezi?? Unadhani tatizo lipo...
Mi najishughulisha na mambo ya video editing hasa za sherehe za harusi , mikutano n.k.
Kwenye kutoa kazi iwe kwa file au ki burn DVD ndio shidaaa inakuwepo. Rendering inaweza kufika masaa 4 hata...
si ajabu kama vipaji tunavo vicheka tukazidi kuvipeleka gizani.kwa ghana ni tofouti na nchi za afrika kiufupi.
historia kiufupi.
kantanka ni kampuni ambayo ilianza kama mbengu kuanza...
Ninatumia laptop aina ya Lenovo T440p. Nimeiwasha inaonyesha kua imewaka lakin screen imegoma Ku display (kuwaka).
Mwenye shortcut ya namna ya kufix hili tatizo anisaidie tafadhali.
Sent using...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.