Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wanajamvi. Nina CM yangu Tecno k9 spark. Tokea Jana nikifungua kamera haipigi picha. Na tochi haitaki. Kwa mwenye kujua tatizo linakuwa lipi naomba msaada. Au je ninaweza kwenda makao...
0 Reactions
93 Replies
14K Views
Habari...Kuna Ukweli Juu Ya Kuweza Kutumia Android Apps Katika Ios Yaani Iphone,Ipod,Ipad Devices??Na Kama Ni Kweli....Nani Anazijua Hizo(Tricks)[emoji2]?
0 Reactions
1 Replies
522 Views
Nimeendelea kumchimba jamaa anayenipa taarifa za App yao ambayo inafanya kazi kama Uber ameniambia Madereva tutaweza kufanya biashara hata kama hatuna Smartphone. Ila Abiria watalazimika kuwa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Najua JF ina wataalam wengi, ningependa kuongeza muito (message alert) kwa upande wa MESEJI kwenye simu ya Samsung, hivi inawezekana? Msaada tafadhali. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
882 Views
Naomba msaada kwa anayejua App ambayo naweza kutazama futiboli ligi kubwa kubwa, kwa kuanza na mechi inayoendelea muda huu kati ya Spurs na Chelsea. Nimejaribu kudownload App kama tatu lakini...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Nmeleta kwenu huu uzi ili kufunguana macho, kuelezana kinagaubaga kuhusiana na biashara hii ilioegemea kuhusu Internet. Dunia imebadlika sikuizi manunuzi na uuzwaji siku hizi unafanywa online...
0 Reactions
0 Replies
864 Views
Ni freelancer wa mitandao ya mawasiliano hapa nnchi, mwenye ujuzi tajwa hapo juu naomba unisadie.
1 Reactions
31 Replies
23K Views
If you need an application to change your voice, there are a number of applications that perform this task on Android, and in this article we review the best applications of sound change and away...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimepata laptop nyingine sasa nataka kubadirisha HDD Kwenda kwenye laptop hii ya sas. Je inawezekana kuhamisha HDD bila ku install window mpya, kwani nina vitu vingi ambavyo sipendi kuvipoteza...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jaman mmi nina swali Je nkiset satelite ya startimes wanayotumia na kwenye reciever ya mediacom ntaweza pata channel zote zinazorushwa na startimes kwakua kuna kipindi nlikua na continental...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu!! Hapa Nina smartphone yangu, Nikiuliza IMEI zake zinafanana Kati IMEI ya SIM 1 na SIM 2,Hizo IMEI zitakuwa zimebadilishwa? Na kama zimebadilishwa nafanyaje kuzirudisha IMEI za awali...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Salaam Nilinunua Iphone 6 cha mkononi, yumkini niliweka Icloud na bahati mbaya simu ikakorofisha, kuoeleka kwa fundi akaifrimat na ikaanza kuniuliza nywila ya Icloud Nimehangaika hadi kwa...
2 Reactions
39 Replies
9K Views
Wasalam wakuu, naweza kupata usb board ya printer Hp Printer Laser jet M1132 Mfp, nimejaribu kuaangaika nilipo nimekosa, huko ebay bei ndo hivo tena Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
425 Views
Tigo university promotion ntaungaje wadau mwenye ujuzi atupe
0 Reactions
13 Replies
49K Views
Cm yangu inasumbua haitaki ku search kwenye playstore ni aina ya motorola Gplay5 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
505 Views
Wakuu nina Samsung galaxy s3 Alps (clone) mda wote inasoma edge. Nimejaribu kila njia ili nipate 3G lakini nimeshindwa, Najua humu JF kuna wajuzi wa kila namna hivyo naomba msaada wenu kuiswitch...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
EXCHANGE DEAL ADSENSE IMESHAPOKEA BARUA KWA ADMOB ILIYOPOKEA BARUA NINAYO ADSENSE AMBAYO IMESHAPOKEA BARUA MARA KADHAA ILA SAIVI NATAKA NIHAMIE KWENYE APPS SASA NATAKA NIEXCHANGE NA MTU MWENYE...
0 Reactions
3 Replies
710 Views
PC yangu ya dell haiconnect wala kuonesha list za wifi. Nn tatzo, maana ile seheme ya network kuna alama X
0 Reactions
7 Replies
930 Views
Salaam wakuu! Napata shida kuona inbox, sent, draft n.k(gmail dash board)! Tatizo ni nini wakuu? Na ni jinsi gani naweza kutatua hili tatizo? Napata display kama hii hapa chini baada ya ku'sign...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom