Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari za mda huu wakuu Me na shida kidogo Nimenunua parcel eBay na nataka ni ship kwa kutumia dhl Parcel inatoka Us but sijaona address za dhl ambazo nitampa muuzaji ili mzigo upelekwe pale...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu... Hiki kitu kinaitwa metered connection kinanizingua waungwana... Niki-connect kwenye WIFI na kutoka, ninaporudi WIFI hairudi na kuniandikia ujumbe kama unavyosomeka hapa...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
The latest social media #10yearchallenge is not just about fun – specialist warns that tech giants might exploit it to improve face recognition technologies. For instance, neural network can mine...
0 Reactions
2 Replies
665 Views
Habarini za jion humu ndani.Mimi ni app developer based on android,nina apps zangu kadhaa nimelink na adsense ili kunipatia kipato nashukuru Mungu zimefika dollar kadhaa na google wameshanitumia...
1 Reactions
5 Replies
979 Views
Habari zenu wakuu Samsung j5 inasumbua sana upande wa Network had ukae mjini kabisa ndi inasaport network japo bado inakuwa iko low sana tatizo limekuwa kubwa zaid hata data aiwaki Nino shida...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nahtaji kuujua ufreemason Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
7 Replies
7K Views
Msaada ma technician wa computer PC ninapoichaji ime stack kwenye 4% hata nikiiacha masaa sita bado iko pale pale haiongezeki chaji.nifanye Nini Cha ku fix kabla sijaamua option ya kununua battery...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nahitaji kutengeneza data backup from local server ( win server 2012) , either cloud backup au remote back up.... database n mysql Naomba muongozo wajameni
0 Reactions
2 Replies
805 Views
Habari za jioni, Naomba kujua kuhusu YouTube, kama inalipa na inatakiwa kuwa na sifa gani ili uanze kulipwa na je channel zenye content gani hulipwa? Na kama kuna mtu ana uzoefu naomba atujuze...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Wataalam nawasalimu, Ninaomba ushauri wa kitaalam kwa size ya wire wa earth unayotakiwa kati ya 1.5 na 2.5 na kuendelea katika ulinzi wa umeme nyumbani. Nina umeme wa 3phase japo matumizi si...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu pc yangu imezima ghafla tangu juzi na nimejaribu kuangaika na betri ila naona aijazaa matunda nafkiria kushusha window ila pia kuna mtu kaniambia ingekua ni window power ingekuwa...
0 Reactions
5 Replies
594 Views
Inauza kwa wale mafundi wa simu Bei 200000/= za kitanzania Nitafute inbox kama uko intrested Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
742 Views
kuna msg nyingi zinasambaa whatsapp na hata humu jukwaani kwamba simu ambazo hazijakuwa certified na google kutumia service zake zitafungiwa hapo baadae. hii habari ni ya kweli, muda mrefu Google...
6 Reactions
174 Replies
22K Views
Naam ndg wajumbe, Jana nipo zangu napunga upepo wa weekend baada ya juhudi za kumtafuta dem wangu kwenye sim kugonga mwamba, mara anawasili akiwa na kasim kake ka vodafone kakikwa kame stuck...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za asubuhi ndugu zangu wanajukwaa, mwenzenu niliingia mjini macho juu nikapigwa, niliuziwa simu chini ya mnara kama wajanja wa zamani walivyoita. Niliuziwa simu barabarani ilikuwa inafanya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
sihitaji kuandika Zaidi ila niwape uzi wa download na serial namba: download app hapa: Download ESET Mobile Security apk Download Serial hapa: Download Key txt ukiona uzi unamanufaa kwako...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wifi WPS Connect Premium is a new and wonderful application Application features 1 - Used in houses, cafes, cafeterias and other private and public places. 2 - Know the secret numbers and...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari Naomba msaada site gan naweza Download (windows xp?
0 Reactions
4 Replies
713 Views
Habari wana jamii naomba mwenye ujuzi wa ku hack number anicheck tuyajenge....asanteni Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Nokia wameweka ratiba yao ya kuzi upgrade simu zao kwenda Android Pie yaani Android 9 ambayo ndiyo toleo la sasa.Tayari leo Nokia 5 imeanza kupata upgrade ya Android Pie. Sent using Jamii Forums...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom