Nimenunua iphone 7 used kwa online market baada ya kuiwasha(kufungua) nikafika mahali inaitisha ID ya mwenye alikua akitumia na wala sina njia ya kumpata.nimejaribu kugoogle nipate njia nikapata...
Hili ni tatizo ambalo kwa kiasi kikubwa limekuwa likizikumba Simu za aina zote iwe ni Android (Mfano Sumsung, HTC, Nokia, Tecno, Huawei n.k) au IOS (Simu zote za Apple, Iphone 4,Iphone X, Iphone...
Nimenunua iphone 7 ya kutumika kwa online market,nilipo inaitisha id ya mwenye alikua akitumia zamani.tatizo simjui wala sina hata njia ya kumfikia,Kama yupo mwenye maunjanja naomba msaada hata...
Wakuu nina kimeo changu samsung S8 touch yake imeacha kufanya kazi ghafla bila kuiangusha wala kuipa shuruba yeyote. Nimejaribu kubadili display nzima ila tatzo liko pale pale ikabidi nirudishie...
Habari wana jf naomba msaada kwa wenye kujua chief mkwawa na wengineo nataka kununua simu siries za s yan sumsung galax sseries za edge , kati ya sumsung s7edge na s6 edge + ipi inakaa na charge ...
Wazee wenzangu nina shida kidogo najaribu kutengeneza video nahitaji software ya kuweka subtitle katika hizi video, mwenye nayo ama mwenye kujua software nzuri na nyepesi..
Video zina urefu wa...
Habari zenu Ndugu wadau Wa hili jukwaa la Kazi na Tenda, Naombeni msaada wenu hasa ktk steps za kuandaa profiles mfano Kwa upande Wa Sewer lines, Roads etc,
Nimejalibu kupitia pitia documentary...
Natafuta mtu mwenye online shopping site yenye android app aniuzie ,
Hata akipatikana mtu anaeweza kunitengenezea online shopping site and android application tunaweza ongea bei
Sent using Jamii...
Kuna hili swali mdau fulani ameniuliza kwenye inbox hili swali nimeona nililete huku ili lijadiliwe na wadau wengine kwa manufaa ya wanaJF
sorry kaka,
hivi wewe uko vizuri kwenye programming...
Nikiwa mbobezi katika masuala ya simu hasa Android na kompyuta nakaribisha maswali kuhusiana na matatizo hasa ya software tu na ushauri wa App muhimu kuwa nazo kwenye simu.
Je, simu yako ina...
Tatizo la WhatsApp kutotumia Cellular data na badala yake ukiunganisha Wi-Fi inakunali.
TECNO J8
Android version 5:1
Nafanyake wataalam wa IT na wadau wengine
Kwa mwenye ujuzi tafadhali,nimenunua smartwatch ila ina tatizo,nikiweka line ya simu inaniandikia invalid sim,naomba mwenye ujuzi wa hizi saa anijulishe shida ni nini maana ni mara yangu ya kwanza...
Wadau naomba kusaidiwa ushauri, bajeti yangu ya kununua simu ni Tsh lakimbili na nusu (250,000/=) tu, ivyo nataka ninunue simu yenye thamani ya ela yangu, naomba ushauri wenu wakuu, mubarikiwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.