Habari za asubuhi,
Asubuhi ya leo nafungua account yangu ya instagram nikakutana na kitu iki,
siwezi ku'log in,
msaada mwenye ufahamu na ili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti Unaweza kuwa Tanzania na kutumia sky decoder? au unaweza kununua sky card kwa digital money na upate sky ID utumie kufanya sky subscription ukiwa unatumia sky app for mobile
Habar za sasa hivi wadau!
Naomba mnisaidie gharama ya kioo cha laptop tajwa hapo juu, iwe used au kipya! Na mahali ninapoweza kukipata(dukani au kwa mafundi)
Naomba niwasilishe! Asante
Sent...
Wakuu habarini za jumapili. Rejeeni mada hapo juu nipo dillema Sina umeme hapa nyumbani kwa miezi 5 Sasa toka nilipie nguzo Moja tanesco Kila Leo nguzo hakuna na watoto kusoma...
Naomba kwa wale wapekuzi wazuri wa mitandao na wafuatiliaji wa habari kuhusu ku spy simu ya mpenzi wako rafiki au mtoto wako kwa kutumia computer na anae jua software yoyote ile ambayo iko poa...
Wadau! Ningependa tujuzane kuhusu games nzuri za magari na mpira ambazo mtu unaweza kuya download na ku enjoy kwenye smart phone yako.
Karibuni kuchangia katika uzi huu
Wakuu,simu yangu inaniletea huo ujumbe "Google play services won't run unless you update Google play services"
Nimedownload na kuinstall latest version ya Google play services, lakini bado...
Wanajamvi naomba msaada wenu nimetumiwa zawadi na ndugu yangu ya king'amuzi cha aljazeera ili niwe naangalia mpira kupitia Beinsports, sasa tatizo langu ni kwamba nimesikia huku kwetu matangazo...
Natafuta duka la simu zanzibar linalo uza simu bei nafuu nikipata namba za muuzaji itakuwa vizur ila hata ukinipa direction mimi ni mgeni hukuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakuta mtu una laini mbili za simu na unataka zote ziwe na whatsapp, au unataka whatsapp application 2 kwenye simu moja, huna haja ya kuroot simu yako.
Hii feature ilianza na Samsung note 8, na...
Wadau nimekuwa nikipita mtandao wa Alibaba uwa naona vifaa kama hivi chini(kwenye picha) vinafana na USB flash vimeandikwa Analog Tv receiver kwa maana vinaweza nasa free to air channel na bei...
Kwa muda sana wabongo wanahaha kupata Account za paypal zenye uwezo wa kupokea pesa lakini kutokana na sheria za BoT bado giza nene ..... angalieni hii video nimeikuta YouTube nikitafuta njia na mm
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.