Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu wazima. Nina shida na win 7 nikiwasha computer inaonekana kama nimeistall win 2 nifanyeje.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
WAdau:TV yangu samsung 32 nchii ilipasuka kioo sasa najiuliza kama kuweka kioo itakuwa sawa na mpya au niache nitafute fedha ili kununua mpya.Naomba ushauli jamani. Gervase
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna taarifa ambazo hazijathibitishwa kuwa King'amuzi cha azamtv ukikinunua kutoka Zanzibar unapata local channelz kama TBC, clouds tv, StarTv, EATV, ITV na nyinginezo.....Mwenye kujua hili naomba...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari wana JF, Karibuni tena tujifunze kidogo kuhusu mambo mbalimbali ya teknolojia, najua kuwa wote mmeamka salama, kama kuna aliyeamka na tatizo usijali hayo yote ni sehemu ya maisha. Kwa siku...
2 Reactions
6 Replies
5K Views
Habar Watalamu... Nipo kwenye maandalizi ya kufanya mtihani wa kwanza wa OCA... yaani najiandaa na SQL Fundamenta I (EXAM IZO-051).. Sasa natafuta mtu ambaye anaweza kunipa msaada wa kukonect...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hellow Nlikuwa na iPhone 6+ from China, Sasa nikafuta kila kitu yani. Sasa simu ikajiprocess hadi kustart upya, ikaniguide kuset lugha nikaweka then nchi nikaweka Sasa next ikawa inahitaji...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu Habari zenu? Naomba msaada wa drivers na software kwa mashine ya kuremba kucha NAIL D PRINTER (CHINA MADE) Haina model wala serial number ila computer inaitambua kama Lenovo 3000 Series uki...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Electric vehicles are the future.Ever wondered how much energy electric vehicles consume? Below are Tesla model data. Tesla Range Plotted Relative To Speed & Temperature (Graphs) | CleanTechnica
0 Reactions
1 Replies
629 Views
Wakuu kuna audio ipo kwenye radio ya Pangani Fm kuhusu historia ya Wanyiramba Nimejaribu ujanja wote nimekwama kudawnload audio hiyo Inataka ulog in ndio udownload lakini hakuna mahali pa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu kama mzalendo wa nchi niliamua kuwaunga mkono TTCL kupitia T-Pesa cha ajabu ndugu zetu hawa wamekosa uhaminifu kabisa!! Zaidi ya Mara mbili nimenunua airtime kutoka T-Pesa kuja kwenye no...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Wakuu naomba msaada jinsi ya kuflashi simu na application ya kutum
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama inavyojieleza. Nimekumbana na hili tatizo kwenye hii aina ya simu ambapoa... Internal memory inapungua tu hata kama hauja download kitu baada ya muda unaona interna memory imepungua mb 5-10.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Msaada app ya searching kwa sauti may be una clip alafu unataka audio bt uijui jina yan Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi unatakiwa kufanyaje il kuweza kupata subsribe nyingi pamoja na view wengi YouTube Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
12 Replies
2K Views
OKAY sio mwongeaji sana ila dhumuni ni 1. ku protect watu wenye uelewa mdogo na viruses 2. kuchukua tahadhari na kulinda vifaa vyako vya office , biashara n.k haina haja ya...
0 Reactions
8 Replies
970 Views
Wakuu laini yangu ni 3g hivyo nimejaribu kuswap ili nipate 4g, ila cha ajabu nimejaribu mara mbili kuswap na swap line zimeandikwa 4g lite... Ila nikiweka kwenye simu bado napata 3g... Wakuu wapi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nisaidieni hapa kuhusu hizi machine za wachina za kudumbikiza token/coins .. mfano ukidumbukiza coin ya mia mbili unakuta inatoa Tsh. 30,000/- .. ila me nikiweka coin za Tsh. 2,000/- Naweza...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
wakuu nianze na salam..Nina banda la mpira na nimekua nikitumia Tv za HISENSE LED 55'. kutokana na hali ya usalama inanilazimu kila siku nizihifadhi tv sehemu salama baada ya game. sasa nimepata...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu msaada wa kutatua ttzo la led screen inayoonesha mostari ya white picha kufifia na rangi kubadilika.. Mara inakuwa kama dhambarau mara normal... Picha kuonesha imefifia na hata kuganda au...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu laini yangu ni 3g hivyo nimejaribu kuswap ili nipate 4g, ila cha ajabu nimejaribu mara mbili kuswap na swap line zimeandikwa 4g lite... Ila nikiweka kwenye simu bado napata 3g... Wakuu wapi...
0 Reactions
0 Replies
569 Views
Back
Top Bottom