Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Salaam wakuu! [emoji120] Ni kweli kwamba simu za OPPO na LENOVO zinasumbua mtandao hapa Tanzania hata kama ni UNLOCKED? Nikiwa kwenye mchakato wa kuzihama Tecno, pendeleo langu ni OPPO au LENOVO...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Habr wana jamvi naomba wale wataalam Tujuzane kuhusu uchambuzi wa data kutumia programm ya SPSS Sent from my iPhone using JamiiForums
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ninaomba kujua kama naweza kupata hii display cable wire ya Hp Chromebook 11 G4 yangu imekufa., Nawasilisha.
0 Reactions
1 Replies
405 Views
Wakuu ni takribani siku 4 sasa hawa jamaa wanafunga sana account za watu, sijui wamekumbwa na nini!! Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
10 Replies
2K Views
One of my Excel is protected by a password, which prevents me from opening. I can still remember the password is pure number (less than 6 digits). Is brute-force the right way to recover the...
0 Reactions
6 Replies
881 Views
Naomba niwarudishe shule kidogo. Kwanini tunatumia copper Road kuunganisha waya wa Earth kwenye nyumba zetu? The resistance of an electrical Conductor depends on 4 factors, Length, Cross...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
hbr wakuu kama kichwa kilivo eleza hapo juu cm yang n itel t1507 nikiingia play store inasema game haliendan na vision ya cm yang ila nikitumia search engine kudownload lina install then linakata...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Huyu bwege hilo file aliloweka ni ransomware ambayo imejificha nyuma ya IDM ukiinstall tu imekula kwako documents zako, miziki, picha zote zitakuwa encrypted na utaanza ona ujumbe baada ya muda...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Tofaur kubwa ya wazungu na jamii nyingine ni uwezo wa kutoweka akili zao katika comfort zone, lakin changamoto kubwa inayotukabili sis jamii nyingine ni ile hali ya kuiweka akili zetu katika...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
NAOMBA VPN YA KUANGALIA YOUTUBE WINDOWS 8 , BAADHI YA WIRELESS WAMEBLOCK MTU ASITAZAME YOUTUBE..AHSANTE.
0 Reactions
0 Replies
517 Views
Enyi wadau wa Tekinolojia naomba mnisaidie namna ya kuweka link, hapa nimefungua website ya Kanisa na shida yangu ni kwamba kuna Fomu za wakuu wa idara ndani ya Kanisa ambazo nahitaji kuziweka...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Tanzania ni nchi iliyobarikiwa na imejaa watu wenye vipaji wengi vijijini na mjini. Ukienda silicon Valley marekani utakutana na moja ya makampuni yanayolipa vzr duniani Google. Asilimia 14 ya...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habar wanajf natumia PC aina ya dell ila inanikera kila nikicopy file kutoka kwa mtu niki paste pale ina-paste fresh lakini lile file nikija kulifungua unakuta baazi ya vitu havipo au inakuandia...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wandugu natafuta twinmos hd docker model DS2535-HD31P ni muhimu sana
0 Reactions
0 Replies
778 Views
Blockchain theoritcal ni ngumu sana Kwa hackers kuiba data, lakin baada ya blockchain kuja mainstream kama kawaida hachers wanajiibia data Tatizo kubwa LA blockchain ni kuwepo Kwa bugs mfano...
0 Reactions
7 Replies
844 Views
Mod edit hacker sio hzcker
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hii simu imedondoka na wino umevilia kama inavyoonekana. Lakin inafanya kazi kama kawaida. Hata ukitouch upande huo wenye wino inafanya vizuri tu. Je kuna namna yoyote ya kuondoa wino huu badala...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Pawahost.co.tz inakupa ofa ya mwezi wewe mfanya biashara kumiliki barua pepe "e-mail" inayoenda sambamba na jina la kampuni au biashara yako. Mfano: info@jinalako.co.tz badala ya kutumia barua...
0 Reactions
1 Replies
766 Views
Azam Tv umefka wakati sasa wa Kujitathimini....baada ya kufungwa kwa Local channels kama WASAFI TV, CLOUDS TV, EATV na nyinginezo ambazo muda mwingi zilitupa burudani ya Muziki.....sisi wapenzi wa...
7 Reactions
12 Replies
4K Views
Back
Top Bottom