Anaandika bwana Kenge,
Hivi karibuni kumekuwa na picha nyingi zilizotengenezwa kwa AI(Artificial Intelligence).Licha ya kwamba Technolojia hii sio ngeni sana lakini imezidi kukua kwa kasi na...
Kumekuwa na maswali mengi sana kuhusu simu janja iphone wengi wamekuwa wakipigwa na kuuziwa simu feki, refurbished nk. Nikaona ni busara nikaandaa uzi kuhusu iphone users na ambao wanataka kuanza...
In-Depth Investigation of Moving Averages for Trading Systems
Introduction:
After two decades immersed in the ebb and flow of financial markets, I've seen countless trading strategies rise and...
Habari,
Namba kuuliza, nimekuwa nikifungiwa Acc yangu ya wasap kila mara napotumia mtu text. Hii imeanza kutokea baada ya kubarisha simu, nashindwa kuelewa kama shida ni simu au nini!
Maana wao...
CHATGPT inasimama kwa "Chat Generative Pre-trained Transformer." Hii ni teknolojia ya akili bandia inayotumika kutoa majibu ya mazungumzo, kama vile tunavyozungumza sasa.
Inategemea mafunzo...
Karibu kwenye darasa letu la mobile app development! Hapa tutajifunza React Native kwa vitendo, tukijenga project 4 halisi kwa wiki moja moja. Jiunge na group letu la Whatsapp na upate uzoefu wa...
Habari za muda huu wanajamii kama kichwa cha habari kinavyoeleza ninampango wa kulipia 470,000 kwa simu aina ya Motorola G84 yenye ram12 na rom 256 6.5 inches je kwa bei hiyo ni sahihi au...
Samahan wadau naomba msaada jinsi ya kutatua hii changamoto kwny kisimbuz cha azam antena.
Inaniandikia tu "stb verification required" sas hapo nachemka
Msaada tafadhar.
Wataalamu wa computer nimepata wakati mgumu nilipo taka kujifunza programming language kwaajili ya kutengeneza android+iOS app, desktop app, games na website nilishauriwa nianze na C programming ...
Kumekuwa na ushindani mkubwa kwa miaka ya sasa hivi katika utengenezaji wa softwares ambazo hutumika katika music production. Ilikuwa kazi sana katika miaka kadhaa ya nyuma kwa mtu aliyetaka kuwa...
Kampuni ya Unitree ya kuunda Roboti aina mbalimbali imeonyesha Roboti mpya aina ya G1 Humanoid yenye uwezo wa kupigana kwa kufundishwa ndani ya dakika 3 na kuweza kufanya Kila kitu kwa usahihi...
๐ช๐ฎ๐ป๐ฎ๐๐ฎ๐๐ฎ๐ป๐๐ถ ๐๐ฎ๐บ๐ฒ๐๐ป๐ฑ๐ฎ ๐ฅ๐ผ๐ฏ๐ผ๐๐ถ ๐๐ถ๐ป๐ฎ๐๐ผ๐๐ฒ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ท๐ถ๐ฏ๐ฎ๐ฑ๐ถ๐น๐ถ๐๐ต๐ฎ ๐๐๐ฟ๐ฎ ๐ธ๐ฎ๐บ๐ฎ ๐ถ๐น๐ถ๐๐๐ผ ๐ธ๐๐ฒ๐ป๐๐ฒ ๐บ๐ผ๐๐ถ๐ฒ ๐๐ฎ ๐ง๐ฒ๐ฟ๐บ๐ถ๐ป๐ฎ๐๐ผ๐ฟ
Si mnakumbuka Ile Movie ya Terminator Adui mmoja aliyekua anaitwa sky alikua na uwezo wa...