Habari wadau
Nipo kwenye harakati za kujiandaa kufanya utafiti juu ya matumizi ya Next Gen Firewall hapa Tz na case study yangu itafocus kwenye data center
Hivyo ningependa pata first hand...
Nimekuwa nikijifunza kutengeneza Music ArtWork Cover kwa miezi miwili sasa kwa kutumia android apps. Cha ajabu ninapo-upload on YouTube, zinakuwa na quality duni sana ingawaje wakati nasave...
Habari JF, Nimetumia Watsap GB kwa miaka Mitano 5 sasa lakini juzi wameni-block Aisee sitoweza kupata access za GB watsap milele na milele. Now niko Official whatsapp ila sijaizoea kabisa maana...
Habari zenu wadau
Nimekuja hapa kama kichwa Cha habari kinavyosomeka hapo juu naomba msaada wakublock haya matangazo ya mikopo yasinifikie
Mwezi iliyopita nilifiwa na tangazo la mikopo kuwa...
Wakuu habari za mishe
nimefungua huu uzi ili kuhakikisha kuwa pamoja na uwepo wa vifaa vya apple(ambavyo vina gharama kubwa na watumiaji wake wanajiona sana)pia na vifaa vinavyotumia OS zingine...
Ndugu wanajamiiforum
Nataka kubadili tv nichukue flat nzuri zaidi maana nilikua na Singsung nchi 25
Wakuu ni TV ni brand gani ya tv za flat ni nzuri,imara,picha nzuri, na zenye ubora?
Maana...
Yaani natumia mtandao wa tigo lakini nina bando 190mb lakini halisapoti chochote yaani hata sms au video halikubali nishafanya seting cm yangu lakini wapi, shida ni nini wadau?
Hi.
Kwa mtakaoniona mjinga mnisamehe bure. Nimegugo ila sijaelewa vizuri.
Naomba kueleweshwa yafuatayo:
1)Name in print inaandikwaje?
2)Signature kwenye form ya soft copy inaandikwaje...
Magari yanayojiendesha (self-driving cars) ni magari yanayotumia teknolojia za hali ya juu kama vile akili bandia (AI), sensa, na urambazaji wa GPS ili kujiongoza bila hitaji la dereva. Haya ni...
Wakuu nisaidieni nilikua natumia nearby share kuhamisha mafile Sasa nilivyo update system simu ghafla Nika kukutana na quickshare.
Sasa hapa ndipo tatizo lilipoanza Nikwamba speed yake ni ndogo...
Wataalam wa tech naomba elimu yenu kuhusu maeneo hayo Apps na Websites.
Ukitaka kutengeneza apps unapaswa kupitia hatua zipi au kozi gani fupi?
Hivyo hivyo kwa website unapaswa kupitia hatua...
Jinsi ya ku root simu yako ya Android.
Utangulizi:
Simu zetu za Android zimekua sehemu ya Maisha yetu ya kila siku. Tunazitumia katika Mawasiliano, Kuhifadhi kumbukumbu za muhimu, burudani...
WhatsApp imeanzisha utaratibu wa kutuma sauti (voice note) ambayo mtumiwaji ataweza kuisikiliza mara moja tu (listen once) kama ambavyo ilivyo kwenye picha (view once).
Ni maendeleo mazuri ya...