Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Baada ya kutumia smartphone za makampuni mbalimbali I. e Nokia/Lumia Samsung/Galaxy S6 Tecno/H6, wx3, F1, J8 ... Xiaomi/Redmi note 8,na sasa natumia note 10 Naomba ushauri kati ya hizi OnePlus...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wakuu ninahitaji simu yenye uwezo wa kila kitu yani kama computer...yenye uwezo wa kufungua chatroom za java kama vile chatzone nk, yenye kuweza kufungua na kudownload miziki kutoka youtube...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Mwenye kujua ubora wa taa za solar kwa ajili ya security light nje nahitaji kujua brand zilizo bora, je, Watts ni kigezo cha bei? Ni kweli unaweza kuwa na solar ya 2000Wats ikiwa combined na...
1 Reactions
3 Replies
595 Views
Kuna kitu kidogo kina tengeneza ugumu kwa wanao thubutu kujaribu fursa mbalimbali katika dijitali . Kitu kikubwa kinacho changia kukatisha tamaa ni kukosa ujuzi wa matumizi ya intaneti Ujuzi...
0 Reactions
1 Replies
259 Views
Tecno skuizi kama hawapo vile Ila wana vitu harari Kimya Kimya, mda mrefu Redmi zimekuwa zikisifiwa sna Ila huyu mwamba hasikiki Wametoa Toleo Lao jipya camon 30 naona wamebadilika SANA Camera...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu wanaJamiiforums......Nina TV ya Samsung inch 43 android, inaniletea shida kiasi kwamba siwezi kuona chochote. TATIZO: Nikiiwasha inawaka lakini ndani ya sekunde kumi inazima...
4 Reactions
12 Replies
674 Views
Tangu nianze kuitumia kwenye baadhi ya projects, imetokea kuwa my favorite Ni recommended zaidi kwa PHP dev ambaye hutaki Kuhangaika na Javascript na mda huo huo unataka kutengeneza Rich user...
3 Reactions
55 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu. Natumai mu wazima. Kutokana na mabando kuwa juu, niliamua kwenda maduka ya TTCL na Voda shop kuangalia home internet. TTCL walinipa hii details. Kulingana na matumizi yangu...
19 Reactions
1K Replies
110K Views
Naomba kujua Duka linalouza Raspberry pi 3 au 4
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Coders / Developers mnacode mkiwa mmejifungia chumbani au mnatembea na laptop kama mimi kwa ajili ya kubadilisha mazingira ya kazi. Nipo zangu zanzibar nakula upepo huku kazi ikiendelea
6 Reactions
86 Replies
4K Views
Nina uhitaji na PC kama uko Dom una PC umeichoka ila ni nzima na nzuri niuzie kwa bei ya kitanzania ya kulia lia nami inisogeze kwenye mambo yangu Fanya kama unanisaidia
2 Reactions
12 Replies
345 Views
Tunatafuta Tutor wa kufundisha Kozi za ICT mwenye Uzoefu mkubwa sana kufundisha vyuo vya kati,Tunataka mtu ambaye anajua na practical katika kufundisha kozi hizo za ICT. Pia tunaitaji Tutor wa...
0 Reactions
0 Replies
345 Views
Jana nilikuwa nahangaika ku unlock router isome laini zote nikawa naona kuna videos nyingi za Cameroon, Nigeria, Zambia na hata Tz. Hizi videos wanaonyesha maelekezo hatua kwa hatua lakini...
3 Reactions
22 Replies
918 Views
Habari wana JF, Baada ya tathmini ya muda mrefu kuhusu masuala ya Sat tvs na jinsi wtu wanavyohangaika kutwa kucha kutafuta elimu hiyo, nimeona mimi nami kuanzisha mada hii ili niweze...
22 Reactions
2K Replies
425K Views
Makampuni yanatumia vitu vidogo sana kutupiga hela, ukichukua simu ya 4g na 5g kwa internet ya tz download vitu kwa pamoja kwa mtandao mmoja utaona hazipishani Utakuta mtu simu kuwa na 5g anauza...
9 Reactions
83 Replies
3K Views
SOMO LETU LA LEO LINA TOKA KWENYE KITABU CHANGU CHA ANDROID NETWORKING Lengo la kitabu hiki ambacho ni maalumu ni kujifunza kwa namna gani unaweza kuweka taarifa kwenye web server database...
0 Reactions
0 Replies
227 Views
Mimi nina maswali kuhusu Jamii forum nataka kufahamu mawasiliano yetu in essence of PM je huwa ni End to end encrypted? Sababu kunawadau washalalamika kuhusu kujikuta watu watatu PM [emoji1787]
1 Reactions
7 Replies
223 Views
Usije ukadhani haya manguzo yenye nyaya zile nyembaba za ttcl zilizokuwa zinatumika zamani kwenye simu za mezani ni uchafu kwenye miji, nakujuza kwamba hizo nyaya ndizo zilikuwa zinasambaza...
20 Reactions
100 Replies
15K Views
Huu ni uzi maalumu kwa watumiaji vifaa vya APPLE | MacBook | iMac | iPhone | iWatch | Airpods | ipads | na vifaa vinginevyo vinavyotumia iOs Ku share experience zao katika utumiaji..! Taarifa...
2 Reactions
4 Replies
376 Views
Mambo vipi watu wa Tech. Kwa uchache niwaeleze kuhusu google Admob, ambayo kwa namna moja au nyingine inaweza kua fursa. Kwanza kabisa google Admob ni child company ya google ,ambayo ina...
4 Reactions
17 Replies
918 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…