Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Tafadhali Mwenye Offline Biblia software ninayoweza kutumia kwenye laptop au desktop yangu anitumie ni dowload!
1 Reactions
3 Replies
407 Views
Habari wakuu. Nilikua nazunguka mtandaoni kutafuta gaming laptop mpya. Katika kutafuta nilikutana na gaming laptops brand ya Mechrevo. Kilichonishangaza niliona kuwa zinaonekana kuwa bei nafuu...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Nimedownload apps nyingi nyingi kdg ambazo zimetengenezwa na developers wa tanzania, wengi naona wanadevelop for android, nahisi labda market kubwa iko huko bongo, iOS wameisahau kabisaa!! Swali...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Naulizia kama kuna mtu anajua kudevelop system na kuunganisha na internet of things pia iweze kifanya intergration arduino Nicheki kazi ni very ugently awepo dar es salaam ili kuepusha usumbufu...
0 Reactions
1 Replies
154 Views
Hello world... Kwenye dunia ya technology hasa hasa computer programming chaguo sahihi la technologies za kutumia ili kutatua tatizo au kutengeneza kitu fln ni muhimu sana. Kufanya chaguo hilo...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Wakuu mimi ni beginner kwenye hizo mambo za app development, nilipanga kujifunza app development, ila nikapata ushauri nijifunze web development (Front end) kwanza, nina endelea nayo, kwa sasa...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Mzee wangu anaamini sana kwenye kilimo, nahofia nikimuomba mtaji wakuipromote app yangu ataona huyu kijana ananiletea utandawazi nyumbani kwangu. Ninamsimamia kazi yake moja huku Dar, yeye yupo...
1 Reactions
31 Replies
859 Views
Hello bosses and roses... Wiki hii nimepata changamoto kubwa ya kukosa access kwenye baadhi ya websites ninapotumia intaneti ya mtandao wa Tigo. Shida ilizidi zaidi kupelekea baadhi ya websites...
3 Reactions
9 Replies
690 Views
Mmeamkaje wandugu naomba kufahamu jinsi ya kuupdate gbwhatsapp maana kila nikitaka kuupdate nashindwa kutokana na lugha ya kiarabu maana sina raha kila nikifungua whatsapp notification inakuja...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Salaam.. Kuna hizi Apps mbili 1.JIJI 2.Zoom Tanzania amabazo ni platforms za kuconnect wateja na wauzaji wa bidhaa mtandaoni Kwa hapa Tanzania,naomba kujua from the scratch mpaka zinaanza...
8 Reactions
148 Replies
16K Views
Download TIGO PESA APP (play store au app store ) jisajili utapokea 1GB , Kama tayari app unayo log out then hakikisha iko updated then log in again utapata 1GB
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Ndugu zangu habari za muda huu? Naomba niende moja kwa moja kweenye mada. simu yangu ya sammsung a30 imeanguka na kuharibika kioo yaani display. Kwa sasa simu imevujia wino na kioo ni cheusi...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Kama mnavyojua sikuhizi kupata charger original ya uhakika ni shida sana. Charger nyingi madukani humu zinaandikwa fast charger ila ukienda kuitumia ni matatzo tupu. Leo nitaelezea njia rahisi ya...
45 Reactions
62 Replies
13K Views
Wakuu miaka michache iliyopita huko niliwahi pata idea kazaa ya biashara kuhusu teknolojia, sanyansi na Sanaa. Hivyo nimeamua kuchukua hatua Kwa kuanza na teknolojia ni simple idea lakini naona...
1 Reactions
6 Replies
608 Views
Habari wanajamvi, Nimenunua kifaa cha kuhifadhi data aina ya 1080 PRO NGFF M.2 SSD 4TB Kwa ajili ya kuongeza uwezo wa laptop yangu. Hata hivyo, baada ya kukifunga kwenye laptop yangu, haisomi...
1 Reactions
2 Replies
326 Views
Ni mara yangu ya kwanza kutumia pinduoduo nimeshamaliza taratibu zote shida ipo kwenye kujaza address
1 Reactions
11 Replies
848 Views
Wakuu kwema? I hope mko poa Nina 400,000/= hapa nahitaji kununua PC, ningependa mnishauri kwa budget hii - Napata Laptop MPYA yenye uwezo gani? na wapi naweza kuipata? - Napata laptop USED...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Mambo vipi wakuu hapa juzi Kati nilinunua simu ya redmi used note 12 5g ushauri alinipa mkuu Chief-Mkwawa hii simu nimeuza baada ya mwama mmoja kuja na dau kubwa zaidi ya lile nililo nunulia...
0 Reactions
4 Replies
528 Views
Aliewahi kutumia Samsung a15 au anaeijua utendaji kazi wake anipe muongozo nataka niinunue, masuala ya camera siangalii sana Mimi naangalia speed na isiwe inaganda au kupata moto Simu inaonekana...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Habari wakuu, nilisave picha zangu kwenye locked folder la google photo, cha ajabu lile folder limefutika na halina picha hata moja. Je, kuna uwezekano wa kuzipata?
0 Reactions
7 Replies
594 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…