Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Wajuzi msaada. Nimepakua WhatsApp lakini mtandao unagoma ku-verify. Nimeshindwa kupata verification code kwa sms wala kwa call. Msaada! Mbinu mbadala. Tunakosa hela jamani!
2 Reactions
7 Replies
566 Views
Hello bosses, Kuna kitu kimenikaa sana ngoja nikiseme. Unajua developers wengi wa kiafrica ninaowafahamu wananishangaza sana hasa hasa kwenye upande wa javascript. Mtu unakimbilia kujifunza...
8 Reactions
49 Replies
4K Views
Jamani naomba msaada WA matumizi ya addition assignment kwenye JavaScript animation
0 Reactions
4 Replies
392 Views
Wadau wiki mbili zilizopita, dada mmoja, simu ya google pixel 4 ilizima ghafla, akaipeleka aliponunua China plaza. Walipompeleka kwa fundi, fundi akamwambia anazo zingine 2 nazo zimezima ghafla...
11 Reactions
106 Replies
9K Views
Watu wengi Wamekuwa wanataman kutengeneza pesa online na hawajui ipi njia bora na nzuri zaidi, kwanza toka hii kitu akilini mwako kwamba ukianza kitu after 5-7 days unaweza toboa kwa hiyo kitu...
7 Reactions
33 Replies
8K Views
TikTok imekuja kummaliza kabisa YouTube aliyekuwa akisumbua kwa miaka mingi. YouTube hana mvuto kwasasa kila simu ya kijana anayefahamu nini maana ya utandawazi basi ana App ya TikTok kwenye simu...
24 Reactions
263 Replies
14K Views
Habari za mei mosi wakuu Leo nimefungua simu nikakuta contacts zangu zilizokuwa kwenye email zimepungua kutoka 2000+ mpaka 12 contacts. Naomba muongozo wa namna ya kurudisha contacts hizo simu...
2 Reactions
27 Replies
937 Views
Habari Wana jamii,,nimeamua kuanzisha hii thread Ili kuelezea experience yangu na TTCL Fiber Ili iwe faida Kwa wengine wanaotaka kufahamu .. Nitaelezea ufanisi wake kulingana na matumizi ya mtu...
13 Reactions
59 Replies
5K Views
In a world where technology evolves at an unprecedented pace, choosing the right Smart TV can be a daunting task. With a plethora of options available, each boasting a range of features, it's...
10 Reactions
43 Replies
3K Views
Habari Ndugu??? Hii ni kwa wale ambao wanapenda kujifunza hacking kama Hupendi Na Huhitaji hebu pita Mbali usiache uchawa hapa. ZIFUATAZO NI TOP 10 YA MOVIES AMBAZO ZINAONYESHA SUALA ZIMA LA...
7 Reactions
70 Replies
15K Views
Wakuu Ninaharaka sana na mzigo mnapokeaje kupitia speedaf maana nimeskia wao ni wiki mbili ila Kwa Hawa na wanaoship ni two month.
5 Reactions
151 Replies
12K Views
Simu za Sony mnazionqje wakuu haswa Sony experia 1 mark ii, mark iii na mark iv kwenye performance camera na zinapatikana wapi kwa bei gani haswa haswa mark ii na mark iii
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Namzungu best yangu kanitext ananiuliza which is the best dish for me to buy so i can watch movies and other good stuff
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Heshima kwenu na Kheri ya mwaka mpya 2023! Toka nikiwa primary nimevutiwa sana na kumiliki RADIO and TV stations kutoka na ukweli kwamba napenda sana journalism na social media kiujumla. Baada...
4 Reactions
16 Replies
780 Views
Tafadhali naomba nitumie keys za king'amuzi cha star times il nikinase for free
0 Reactions
13 Replies
15K Views
Kuna jamaa anauliza kwanini oppo FS1 inakata kupakua Twitter na jamiiforums ?
0 Reactions
5 Replies
245 Views
Habari wadau. Binafsi nawashangaa sana watu wanaolalamikia kwa nini star link haipo? Chief-Mkwawa amelinganisha vizuri kuhusu bei za internet ya starlink vs bei za ISP wa bongo. Bei za...
6 Reactions
83 Replies
7K Views
Salamuu wakuu, Naomba kujuzwa ni namna gani naweza viweka vitu vyangu kwenyee email yangu kwa mfano contracts pamoja na pichaa zangu Naomba kuwasilisha kwa anaejuaaa wakuu msaada wenu...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Msaada wakuu Simu yangu ni huawei ni used from china Simu ina changamoto ya whatsap, nikisajiri number baada ya week inaanza kuandika kama nilivyo ambatanisha hapo chini Msaada jamani tangu...
1 Reactions
57 Replies
3K Views
Moja kwa moja kama kichwa cha habari kinavyosema ni kweli natafuta watu au kampuni ya kufanya nao Partnership ya Social Network ili tufaidike sote Mtandao tayari umeshaundwa mfano wa Twitter na...
4 Reactions
18 Replies
465 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…