Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Mauzo ya simu za iPhone zinazotengenezwa na kampuni ya Apple yameshuka duniani kote kwa asilimia 10 katika miezi mitatu ya mwanzo ya mwaka 2024. Hayo yamebainishwa na utafiti uliofanywa na...
3 Reactions
3 Replies
511 Views
Salaam wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kufaham jinsi kuingiza sauti kwenye video kama wanavyofanya baadhi ya maDJ wanaotafsili picha mbalimbali na kuingiza sauti ndani ya picha...
1 Reactions
6 Replies
6K Views
Coding Bootcamp hii ambayo ilikuwa maarufu kwa kuwa bure kabisa naona wameweka admin fee ya $150 - $300 kujiunga na kozi, inaelekea walianza mwaka jana...
0 Reactions
0 Replies
230 Views
Habari wakuu. Nahitaji mtu mwenye blog yenye Adsense iwe kwenye wordpress ya kununua. Nahitaji kwa Ajili ya kuendeshea blog. Napatikana 0692 76 33 06 Shukrani
0 Reactions
2 Replies
317 Views
Computer yangu aina hp desktop haiwaki imeanza juzi ilikuwa inawaka na kujizima hapo hapo jana nikaiwasha ikawa inaonekana elimewaka lakini hai display chochote kwenye monitor na pia feni ya...
0 Reactions
21 Replies
913 Views
Habari wakuu naombeni msaada, Gafla king'amzi changu cha Azam kimeanza kuonesha Channel za startimes, ni baada ya kuishiwa kifurushi, Cha ajabu leo kiliomba ni search new channel na baada ya hilo...
2 Reactions
41 Replies
2K Views
Wasalaaaaaam........ Wataalam Kuna zile code ambazo ukiweka kwenye laini mtu akikupigia hakupati hewani ila Kwa mesej mnachati vizuri tu na unapata taarifa muda huo huo kuwa flani alikutafuta...
10 Reactions
58 Replies
4K Views
Habari members Naomba kufahamu kama kuna chuo chochote tofauti na veta chang'ombe ambacho wanatoa course ya generator service and repair na vigezo vyao Asante ๐Ÿ™
0 Reactions
0 Replies
316 Views
๐—๐—ถ๐—ป๐˜€๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—ณ๐—ผ๐—ป๐˜๐˜€ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ Kama ulikua hujui ni muhimu kubadilisha badilisha fonts ya kwenye simu yako ili kuifanya ya kuvutia Zaidi, fonts inasababisha simu kuwa na muonekano wa...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Nataka simu bora kwa charge, speed, net work had 5 G, picha nuzri sana kwa sh laki 5 au 6. Nomba ushauri
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu habarini za asubuhi? Kuna mtu anataka kuniuzia simu, anasema ni iPhone 15 pro max. Nimemwomba anitumie picha zake ni kama sikuelewi hivi. Niombe mwenye uelewa wa simu hii aniambie aina yake...
0 Reactions
0 Replies
175 Views
Wanajamvi, Natumaini tunaendelea vyema. Kama mnavyojua, dunia ina kasi ya kidigitali. Na huenda hutaki kuachwa nyuma. Juzi kuna lecturer mmoja aliniomba kumsaidia wazo na kudadavua jambo: Ana...
0 Reactions
1 Replies
498 Views
Hapo zamani mitandao ilileta routers na modem za kampuni maarufu kama Huawei na zote, Ma IT na mafundi wengi waliweza kuzifungua kwasababu wazungu, wachina, wahindi, waarabu, n.k. walikuwa...
0 Reactions
2 Replies
446 Views
Nitumie mfano harisi kwenye maisha yangu mwenyewe, Hi ikupe mwanga wewe kuendelea kupigana kwenye hicho unachokifanya. Tangia mdogo nlipenda sana mambo ya ufundi,hasa umeme na electonics...
39 Reactions
65 Replies
5K Views
Kuna hizi blender zinaitwa SILVER CREST zinauzwa bei rahisi sana hadi 55,000 alafu wanaziita Heavy duty, kwanini zinaonekana bei rahisi sana lakini zinauwezo mkubwa, Wataalumu mnipe siri kuhusu...
1 Reactions
10 Replies
677 Views
Wakuu kwa mwenye elimu juu ya hlo jambo naomb anijuze... Ahsante nawasilisha
3 Reactions
50 Replies
58K Views
Kwa mjibu wa basics za Physics, electric current itapita na kufanya kazi kama tu kuna closed path(Complete circuit). Kwa maana hiyo kifaa chochote cha umeme kitafanya kazi kama kipo kwenye...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu! Kama muhanga wa bei hizi kubwa za vifurushi vya intaneti (ambaye siishi karibu na eneo lenye Fibre) nilivyosikia kwamba Vodacom leo wanazindua huduma za 5G kwa majumbani--...
6 Reactions
77 Replies
10K Views
Hivi ukiachana na maswala ya VPN coz huwaga yanazingua sana, Kuna njia yoyote nyingine ya kupata Free internet data. Mwenye ujuzi aniuzie, nataka niifanye fursa
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ