Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Simu i mpya. Nimepewa kama zawadi na jamaa yangu toka nairobi. Sijaona apps zake. Ina kitu wanaita talkback. Nikigusa chochote inakitamka. Kwa mfano nikibonyeza l inarudia kwa maneno. Hii...
0 Reactions
3 Replies
717 Views
Habari wadau, tafadhali naomba kufahamishwa namna ya kuroot cm ya techno plus, najaribu kuinstall programme ya hi font lkn inataka nifanye rooting kwanza. Natanguliza shukurani zangu kwenu...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu nisaidieni kwani simu yangu haizidi dakika nne lazma ilete matangazo yale yanayotokea kwenye screen(popup) hivyo nakosa raha ndugu zangu. NB:simu yangu ni rooted Cc: CHIEF MKWAWA mwl Rct
1 Reactions
5 Replies
896 Views
1.isiwe itel 2.camera kuanzia 8 mp 3.android kuanzia 6.0 Niko airport mbeya Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
807 Views
Habari za mda huu wakuu. Nina PC aina ya Mecer, ilikua nzima kabisa lakini kwa sasa haiwaki. Nmepeleka kwa mafundi wakanambia maybe INVIDIA ina tatizo lakini hawakufanikiwa kuitengeneza. Je tatzo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndani ya morogoro mjini naomba contact au pm
0 Reactions
0 Replies
418 Views
Habari waungwana na poleni na majukumu ya pilika za maisha ya kila kukicha. Natatizo ni kwamba nahitaji kuweza kupata msaada wa namna ya kuweza kudisplay nyimbo za tenzi kanisani katika...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ndugu mi nimpenzi wa maswala ya desinings na mechanics ningependa kufaha clubs hapa jijini ili nijiunge kwa ajili ya kuongeza ujuzi na ufahamu wa maswala haya .hivyo basi naombeni msaada wenu wana...
0 Reactions
2 Replies
765 Views
Wakuu salamu kwenu heri na Baraka ziwe juu yenu. Nimejiwa na wazo la kuwa na forum yenye maudhui ya kitamaduni, ushirikishwaji wa mambo mbali mbali kuhusu jamii fulani,lugha mama frusa ...
0 Reactions
2 Replies
865 Views
Habari wakuu naomba msaada jinsi ya kublock namba,zisiingie sms wala call
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Wakuu naomba kujuzwa ni jinsi gani unadownload movie kwa kutumia torrent maana najaribu lkn naona mauzauza tu kwani sehem ya kusearch naona haifanyi kazi nikitafuta sehem yenye list za movie siion...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Habari ya jpili wakuu. Tafadhali husika na mada tajwa hapo juu, tafadhali sana naomba mwenye activation key za windows 8.1 pro anisaidi, PC imekuwa slow,na kuna baadhi ya vitu vinagoma kufanya kazi.
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema, Je kati ya Laravel na django ipi iko powerful? which one is marketable hasa kwa mazingira ya Tanzania/africa? Je naweza kutumia Laravel kama backend framewok...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nina S6 Sprint Phone, hio simu niliflash baada ya kuflash ikawa haishiki h+ au 4g. nikabadili CSC ikawa inaandika invalid sim, nikarudisha CSC ya awali ila Bado imeandika Invalid sim! CC...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimeibiwa simu, naomba kujua namna ya ku track simu hiyo maana IMEI number nimeiifadhi. Asante
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Wadau naomba msaada kwa anaefahamu zinapopatikana hizi software SPSS na ARC GIS za kununua nahitaji kujua bei na zinapatikana wapi kwa Hapa Jijini Dar es Salaam.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wakuu Naulizia ilipo service center ya Huawei K/koo kama wana tawi lao kwa yeyote anayejua naomba anifamishe.nina simu yangu Huawei P10 Lite imevunjika kioo nahitaji kwenda kubadilisha.pia...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu kuna simu yangu s6 nilikuwa naflash ikazingua ila baadae nikafanikiwa Kuflash Fresh na nika update sandroid to Nougat yaan 7.0 sasa shida ni kwamba baada ya ku update line yangu haishiki 4G...
0 Reactions
1 Replies
763 Views
Wataalam habari zenu!? Mwenye driver za internet nazihitaji PC yangu ni HP imekosa driver za kuunganisha internet through modem and Wireless Msaada tafadhali.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu? Naomba kujuzwa wanajf simu yangu ni galaxy trend gt-s7392. Siku hizi imekuwa na tatizo la mtu akikutumia sms basi hiyo sms itakuwa inajirudiarudia mara kwa mara kuingia na inaweza...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom