Hello JF!
Naomba msaada wa kuelekezwa mahali ambapo pako certified kutoa oracle database certification kwa hapa Dar es salaam.
Nimefuatilia UCC ila wao wanatoa Database administration (Mysql)...
Wajuzi wa alibaba na aliexpress nisaidieni nimefanyiwa refund tayar ila kwenye card ya bank hazijasoma ila inaonekana washanirefund
Natumia card ya equity bank
Nifanyeje wakuu nizipate pesa zangu...
``````**AFRIsoft Technology Lab.*
_Huduma tunazotoa_
⚙Blog na app yake Tsh 30,000
⚙Adsense account Tsh 50,000
⚙Kutangaza biashara yako kwenye groups za whatapp zaidi ya elfu moja. Tsh 5,000 kwa...
Kwa alie tayari ambae yupo DSM na yuko vizuri kwenye web design ani inbox, natafuta mtu wa kunifundisha hiyo course kwa language zote lakini ni kwa muda wa jioni tu. Shart awepo karibu na Magomeni...
Kila nyakati katika historia inapita, Ina uthamani wake na ina utofauti wake. Nyakati moja inaweza ikawa ndio mwanzo katika mabadiliko kwa nyakati nyingine ya kibinadamu, kiutawala, kiuchumi...
Habari wadau nimekuja jamvini hapa nina kazi kidogo nahitaji kushare na wenzangu utaalamu wa web designer :
nimehost site yangu na nishailipia domain ninachotaka sasa ni mtaalam wa web designing...
Wakuu
Kwa heshima na taadhima naomba kufungua uzi maalumu kwa ajili ya solar.
Kwanzia ubora wa vifaa.... Ufungaji hadi matumizi.
Nianze na mimi nina pv 2 za watt 100 na 200.
Betri n120
Charger...
Habarini za wakt huu wana jamvi,najitokeza humu asubuh ya leo nina kero moja.
Kutoka playstore ya hzi smartphone kuna app mpya inaitwa TELL BOX TANZANIA ina husu ku hack namba ya sim ambayo mtu...
Habarini wanajamvi! Najua hapa ni msaada wa kila kitu! Mimi nina sehemu yangu nahudumia watu sasa nina watu zaidi ya 2000 ambao nimewasave namba zao za simu na majina yao! nimewasave katika...
Natumia Tecno W3 Lakini Ghafla Simu Jana Iliganda Tu...Nilipotoa Betri kurudisha tena Nikiwasha Inaonesha maneno ya Tecno inakuwa hapo hapo ndo mwisho basi haiendelei tena
Kama kuna mtu ana Ujuzi...
Wakuu narudia tena mimi ni kijana nimenunua kamera Kwa lengo la kujipatia kipato na kuepuka Omba Omba naomba msaada.. Kila nikiweka betri inaleta taa nyekundu na inaandika change betri Park aina...
Msaada jinsi ya kuadd google acc kwenye galaxy j5
nimeirestore simu nashindwa kuadd acc badala yake inaandi problem in communicating google servers mwenye ujuzi anisaidie
Habari WANA JAMIIFORUMS leo nimeamua kukuletea somo ambalo ungelipia katika FORUMS nyingine na somo hilo ni Jinsi ya kutengeneza video game katika Computer yako.
Kabla ya kuendelea ningependa...
Your Windows License will expire soon
You need to activate Windows in settings
Wakuu naomba msaada wenu , ni nini cha kufanya kutibu hili tatizo ?
Huko --- SETTINGS HOW TO ACTIVATE ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.