Ndugu zangu nilinunua simu tecno k9 plus wiki hili, nikawa nimeichaji na imejaa, nikaiwasha na kuanza kuitumia. Cha kushangaza nikacheza video toka youtube ikiwa wima, baada ya muda nikailaza ili...
Wengi wetu tumekuwa tukinunua bidhaa kupitia mitandao bila kujua kuwa tunaweza kuingia kwenye hatari ya kuibiwa.kuna mitandao mingi sana inayotoa huduma ya kuuza na kununua bidhaa mtandaoni mfano...
Naomba kusaidiwa kuinstall Whatsapp kwenye simu hiyo hapo
GT-S7582
Nimejaribu mara kadhaa baada ya kutoa permission inaanza kuinstall
then inaleta ;
Out of space
WhatsApp couldn't be installed...
Habari wakuu, bila kupoteza Muda Naomba niende moja kwa moja Kwenye hoja. Mm natumia simu hizi za Android sasa ni application ipi itaniwezesha kupakua nyimbo YouTube. Mwenye kufahamu naomba...
...And other three new models of iPhones will be released today.
Mpaka sasa jamaa wameuza 46.6 million phones kwa kipindi cha kuanzia Jul mpaka September mwaka huu.
Jamaa wametengeneza profit...
Kama kichwa knavyo jieleze nmenunua CM wk ii Aina ya Samsung j5 2016..kwa jamaa wa kitaani lakini baada ya kui restore imekuja bila play store Na ni original lakini inaonekana niya china coz app...
Habari wakuu?.
Nina simu yangu aina ya iPhone 3G imepasuka kioo na kugoma ku touch, naomba kujua gharama zina range kiasi gani kubadilisha kwa hapa Dar es Salaam. Kama mnavyojua wajanja ni wengi...
Wakuu Nina shida jinsi ya mkutrace mtu aliekimbiza simu yako kujua wapi anapatiana na anaendelea kuperuzi na kutanua na simu yako.. Nimesikia Kuna wataalam humu Wana ujuzi wa kumfuatilia mtu na...
Habari wapendwa
Ebana wana uwanja, ni mara yangu ya kwanza kununua ipad, so ni ekuja kukuta mambo tofauti sana, mfano swala zima la app ya whattsap naona haipo humu, bali kuna whatspad sijui...
Jamani naulizia teknolojia tofauti na CCTV Camera, ambayo naweza itumia kulinda eneo langu la biashara hasa duka ili kuweza kuwabaini vishoka wa kukwala kwenye haya maduka yetu. Mfano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.