AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH
Na'am, Leo Tutakhabarishana Kuhusiana Na JINSI YA KUSIKILIZA WhatsApp VOICE NOTE KWA SIRI, BILA KUTUMIA EAR/HEAD-PHONE.
Vuta Taswira, Upo Kwenye...
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH
Na'am, In shaa Allaah Leo Tutaelekezana JINSI YA KUBADILI PASSWORD YA LAP/DESK-TOP YA RAFIKI YAKO BILA KUJUA YA ZAMANI.
NB: HII NI KWA AJILI YA...
Kuna tatizo limetokea hapa whatsap yangu nashindwa kureceive sms na call me
awali nili bonyeza call me nikaja kupigiwa baada ya masaa mawili mda huo niliacha simu hivyo hivyo sikupata code
sasa...
JAMAN KWA LEO NIPO HAPA KUTOA UNLOCK CODE ZA NETWORK LOCK NAMAANISHA SIM AMBAZO ZINATUMIA LINE YA MTANDAO MMOJA 2
MIMI NAPATIKANA KARIAKOO
GUYS NI MUDA MUAFAKA WA KUTUMIA HII CHANZE MNAKARIBISWA...
Nianze kwa kusema "hamjambo" hope mposalama sana wana wa teknolojia. anyways, dada yenu hapa ni na swali kama title inavyoonekana hapo juu!!! naomba kufahamu kama Pc monitor kama zile za dell au...
Hakuna mtu asiyependa muonekano wa ndani wa iPhones,japo wengi wanapenda simu za android lakini wanatamani simu zao ziwe na UI(user interface) za iPhone,sema tu kwa vile haina uhuru wa matumizi...
Habari za mida.
Natafuta complete display ya samsung galaxy e7 hii ni baada ya kuvujia wino ilipodondoka, kwa hiyo nataka replace niendelee kutumia.
Ama pia ikipatikana simu yenyewe yaani...
Wadau niliacha kutumia what's app mda mrefu lakini hivi karibuni nimeirudisha Ila haijarudisha contact zangu za zamani zote ingawaje nimeouto sync .msaada Kwa anayejua jinsi ya kurudisha
Alafu unajiona mjaaaaanja kwamba eti umezuia charge na bando visitumike sana wakati muda utakaowasha data tu mwendo ni ule ule tena hapa ndiyo resource consumption itaongezeka maradufu, yani...
Mamb vp wadau leo nina habar njema kuwajuza kuwa sasa unaweza kuchukua status ya mtu WhatsApp bila kumuomba aliyeweka status hiyo akutumie yaan kila kitu unamaliza mwenyewe jinsi ya kufanya hivo...
Wakuu nimekutana na hii laptop ebay mtandaoni ina specs nzuri mno kama core i7 hdd 1tb inauzwa kama usd 150 katika malipo imeonekana inatakiwa niwapatie kadi yangu ya benki pamoja na namba ya...
Kuna jamaa alinambia una-copy kisha una-pest lakini nashindwa kufahamu jinsi ya kufanya hivyo.
Kama kuna yeyote mwenye maelezo sahihi anisaidia ikiwezekana aweke na picha
Kwa android phone
Naomba msaada wa kuondoa two step verification code kwenye WhatsApp ktk simu ya samsung J7 prime plus, Hii ni baada ya kurestore simu hiyo ambayo niliinunua kwa mtu ila aliyeniuzia sijachukua...
Habari wakuu naombeni msaada wa kufanya recover bila kufuta data yoyote coz pc ina document muhimu sana ina kazi ya za watu tano mbili website tatu ni software na project zangu mbili muhimu sana...
Habarini wakuu...
Natafuta software ya kuedit video. Nimejaribu kutumia wax, Windows movie maker lakini zinasumbua kusave na kufungua baadhi ya format za video.
Naomba mnisaidie software ambayo...
Habarini wadau,
Nina kamera aina ya Nikon CoolPix S3300,
Kwa sasa ina tatizo la kutochomoa lens pindi napoiwasha kwa ajili ya kupiga piga,
Na baada ya muda inaleta ujumbe wa
"Lens Error"...
Simu yangu ni Samsung galaxy s 5 niliiflash mara ya kwanza haikuwa na android ya lollipop asa nataka kui update iwe na android ya mwanzo nifanyeje?@chiefmkwawa
Instal antivirus yako , baada ya kuinstall activate trial version ambayo utapewa 30 days bure!
Baada ya 30 days ya trial kuisha kaspersky itataka ulipie, basi ww fanya kudownload Kaspersky rest...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.