Katika kuchunguza chunguza kwangu nime notice kitu strange kuhusu ezypesa
Nilivyofanya hzi steps zifuatazo
1)dial *150*02#
2)chagua option 9 ya account yangu
3)chagua option two ya kubadilishwa...
Jamani, mimi nimemaliza chuo mwaka huu mwezi july, nilikuwa na project fulani ambayo nilitaka mnisaidie ili niweze kui accomplish vizuri.
Mimi naishi kijijini ambapo watu huvuna mahindi hadi...
Kuna wakati sim yangu inazima na hutoa maandishi ya red na green then hadi utoe battery na uiwashe tena ndo iwake irudi kawaida
Mwenye anaejua tatizo ni nini naomba msaada wake
[emoji120]...
Wadau naomba kusaidiwa jinsi ya kuondoa screen overlapping kwenye simu.!! Nina cm kila nikijaribu kufungua apps inasema screen overlay detected, open setting, turn off first screen overlay
Hivi ni kweli Tanzania kuna anae uza simu new brand asilimia kubwa ni second wanunuzi wengi wetu hatujii simu unaweza nunua ipo Sealed box lakini ni second
Habari wanajf,
Nimekuwa nikipata shida kuitumia customized domain name yangu niliyoinunua kutoka kwenye domain register ya 1and1.com.
Kwenye account yangu ya 1and1.com nimejaza information zote...
Ku~root SIM kuna faida gani? yeyote mwenye ufahamu juu ya hili atusaidie maana nimekuwa nikisikia watu wengi wakizungumzia ku~root SIM hivyo imenilazimu niulize huenda Nami nikataka kufanya...
wadau habari,vipi hii app ya ITV tanzania naona siku ya Leo kuanzia asubuhi channel zote mbili zinagoma kufunguka,je! tatizo ninaliona Mimi au kunawengine ambao wameona hii kitu!
Nashauri ma it watanzania wafatilie kuhusu issue yakutengeneza katuni ambazo zakitanzania kama za Tom and Jerry au ben10 kama kuna anaejua anijuze napenda Sana nijue tuwasiliane 0692283829
Husika na kichwa cha, simu yangu ni aina ya Samsung note 5 (Verizon), sasa kuna zile sijui upgrade za Android version, je ikiwa rooted nafanyaje, me Sioux mtaalam sana kwa kweli ila nikielekezwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.