Habari,
karibu katika thread hii ambayo tutaweza kujifunza ,Adobe photoshop kupitia njia rahisi kabisa ambayo itakuwa ikitumia hususan sana lugha yetu pendwa ya kiswahili. Utakapomaliza utaweza...
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAH WABARAKAATUH
IJUE IDADI YA WEBSITE ZILIZOHACK-IWA, INTERNET USERS N.K KWA SIKU YA LEO.
HATUA
1. Ingia Google. Kisha Nenda Sehemu Ya Kuandika Url
2. Andika...
Habari wakuu,kama kichwa kinavojieleza,Pc yangu HP hiyo pichani haiwaki,tatizo lilianza niliiacha kwenye ikiwa ON huku nimechomeka adapter (betri haukuwepo) na niliporud badae imezima na...
Naombeni msaada kwenye wasapu nawezaje kuweka apps yeyote kwenye wasapu yangu ili kwa mtu aliyetuma meseji kwangu isionyeshe Kama nishaifungua meseji yake (yani isionye zile tick mbili za rangi ya...
nina magroup kadhaa sasa sio kila mda nahitaji kuzipata chart za magroup yote kama kuna app hiyo naomba msaada kuzui meseji zisije mpaka nitakapo ruhusu
Jamani hili tatizo linaninyima amani upande wa minala inasimama bila kutingishika lakini nikifungua Data haitulii inapanda nakupotea shida ninini na ufumbuzi wake niupi?
Sent using Jamii Forums...
Nimefaulu kuprint kwa simu ya Android, moja kwa moja kwenye printer ya LaserJet P1102. Nadhani kwa printer nyingine itawezekana pia.
Nimetumia OTG cable
Usb AB Cable ya kawiaida ya printer...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.