I don't think if its possible but let me share this..
First i'm new member here, sijui nilikuwa wapi.. but doesn't matter.
I have plenty of video tutorials (programming), i want to share. If not...
Kama kichwa cha habari tajwa apo juu kinavyosema
Wana jf , mwenye taaluma ya IT (techinician wa mambo ya information and technology ), na hata mtu yeyote asiye na taaluma hiyo lkn anautalaamu...
Wakuu
Kama uzi unavyojieleza,naomba uzi huu uwe special kwa ajiri ya kujifunza kufunga ma-Dish ya Azam,Dstv na Continental
Je,kuwa fundi wa Dish unatakiwa kuwa na vifaa gani?
Asanteni
It comes a time umeenda dukani na unapata wakati mgumu kuchagua pc, Kwanza kabisa nasikitika watu wanavyochaguaga pc kwa kihezo cha ukubwa wa hard disk au ram, Hivi ni vitu ambavyo vinaongezeka...
habari wadau...
wataalamu wa IT naombeni ushauri nipitie process zipi ili ni activate window 10 yangu...
activation keys nimeambiwa zipo kwenye pc..
je naenda ziweka wapi??
Jamani naomba Msaada Ninahitaji sana kuitumia iMessage katika simu yangu ni Iphone 7 plus lakini nakuta nashindwa kufanya activation ya Hii iMessage Nifanyaje Tafadhari msaada!
Habari wakuu.
Nimennunua Tv ya Homebase na king'amuzi cha startimes sasa sipati rangi nzuri ya picha channel zote naomba kujua tatizo ni tv au king'amuzi
King'amuzi ni kile cha antena ya ndani...
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH
VLC MEDIA PLAYER SHORTCUTS
Ulishawahi Kufikiria UTAFANYAJE Endapo Siku Mouse Haipo Kwa Namna Yoyote Ile, Labda Imeharibika Au Imepotea N.k, Na...
Kwa kipindi kirefu Kampuni/browser ya Mozilla wamekuwa wakishirikiana na Window xp na window vista katika matumizi ya kupakua vitu mbalimbali katika Mtandao, lakini ilipofika tarehe 4/10/2017...
Guys, kama kichwa cha habari kinavyosema; Tecno Spark ni toleo jipya la simu kutoka kampuni ya Tecno. Hawa jamaa wamekuja tena. Nimepitia baadhi ya maoni kwenye mitandao yanasema, body ya Tecno...
Habari wadau..
Napenda sana gaming ambazo nilikuwa nafanyia katika pc ila baada ya latest games kuhitaji high specifications nikahamia kwenye ps3 ingawa nilitamani ps4 ila uchumi ukabana.
Magemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.