Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari zenu wanaforum Kwa wale wapenda games kwenye simu, Shujaa amekuja. Kampuni iliyokuwa ime base kutengeneza Gaming Laptops "LAZER" Imeingia rasmi kwenye soko la smartphone na simu yao mpya...
0 Reactions
4 Replies
990 Views
Naomba mnisaidie simu yangu ina mwanga mdogo sana na inanipa shida kuangalia so nataka kujua nini nikifanye ili iweze kuongeza mwanga@chiefmkwawa
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habarini nashindwa kuappload picha msaada tafadhali
0 Reactions
8 Replies
924 Views
Habari wana jf, naombeni msaada wa simu gani nzuri ya sony expweria na ya bei rahisi. Nakumbuka niliombaga msada hapa nikashauriwa sumsung s6 nimenunua mpya dukan imekufa siamini, imeshanitesa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Sikielewi kama ki wifi au nini nime chomeka kwenye kompyuta kina andika ethernet anaye fahamu naomba anijuze
0 Reactions
2 Replies
801 Views
Naomba anaejua kontakt 5 libraries nzuri, Mostly used. Anitajie nizidownload.
0 Reactions
0 Replies
719 Views
habari za hapa ndani wakuu, nna uhitaji wa tcon card namba ni T420HVN06 . 2 CTR BD,....kwa mwenye nayo aje tuyajenge. au kama naweza kupata ac no (AUO M106-11)... namba ya simu ni 0762847552
0 Reactions
0 Replies
860 Views
Ni kipindi hasa cha Wanafunzi wengi kuelekea Vyuoni na wengi wao watapenda kununua Kompyuta kwa ajili ya Masomo/Kozi mbalimbali huko waendako Kwa kutambua nafasi hii ya Kielimu juu ya Matumizi ya...
2 Reactions
6 Replies
10K Views
Habri. Naomba kujua Kama naweza kuunganisha DEKI na SPIKA. Na nikasililiza mziki. Natumia audio na sio video. Kwa mwenye uelewa naomba msaada. Kama inawezekana.
2 Reactions
58 Replies
13K Views
Habarini wanajamii kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nahitaji msaada kwa yeyote anayejua au mwenye uzoefu na server za Linux.Shida yangu kubwa ni kwamba niinstall Ubuntu server kwenye pc yangu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za jioni wadau wa jukwaa kuna tatizo limeanza kutokea toka Jana kupitia laptop yangu ya mackBook air apple kushindwa kusave kazi nayofanya kupitia Microsoft office naambiwa no enough space...
0 Reactions
0 Replies
744 Views
Account ya WhatsApp inakataa kuweka profile photo, inaandika couldn't load try again ukijaribu inaandika hivyo hivyo, network ipo 3g na ipo vizuri kabisa, nimewahi kuuninstall na kuinstall tena...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Heshima kwenu wakuu. Naomba msaada wa RegKey za FL12.5.1.5 nimei-download ila imefunguka kama demo. Mwenye Key naomba anisaidie please. Thanks.
0 Reactions
82 Replies
10K Views
Nataka ku lock simu yangu ili ata kama itapotea niweze kuipata kwa urahisi sumsung galax s 5 CHIEF MKWAWA
0 Reactions
1 Replies
629 Views
Naomba kujua hivi wifi inafanya kazi umbali gani? Je nikitaka kuconnect wifi na mtu aliye umbali wa mita 900 inawezekana kama sio ni umbali gani sasa unaofaa
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Nahitaji mtaalamu wa kunitengenezea mobile application! Whatsapp +255719033180
0 Reactions
4 Replies
689 Views
Wakuu sim yangu ni TECNO W5 LITE naomba kujulishwa jinsi ya kuiroot na faida zake na hasara zake natanguliza shukrani zangu wakuu
0 Reactions
1 Replies
909 Views
Katika kujaribisha kufungua IPhone X imeshindwa kutofautisha na imejikuta ikijifungua kwa watu wafananao yaani Mapacha
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari wakuu. Nimekuwa nikitumia free vpn apps mbali mbali kwa android , ila ni kama vile zinaslow down speed ya internet. Je ni kweli free vpn services zinafanya internet speed iwe chini au la ...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom