Ebana nina hii tab 3 ambayo nilikuwa natumia ila kutokana na tatizo lake hili nimeamua kuiweka kabatini.
Ni kwamba unaiwasha inawaka saaafi, ila ikashakaa tayari basi haipiti dakika ina restart...
Habr zenu wakuu.
Natanguliza shukran kwa wote muliojukwaan.
naomba ufafanuzi Wa galaxy note edge kuna Rafiki yangu anauza hii simu kwahiyo sijawahi kuzitumia hizi simu.
Kwahiyo naomba...
Picha ninazopiga kwa kutumia simu yangu na kuzihifadhi kwenye memory card
1. Zinaonekana vizuri tuu masaa machache baada ya kupiga picha hizo
2. Zinakataa kufunguka au ku-preview baada ya siku...
Mwenye hii simu naomba kujua kuhusu battery life na over heating status when playing games kwa hii simu aina ya Infinix note 4 kabla sijainunua.....na mengine kama yapo. Unajua kabla hujanunua...
AMANI IWE NANYI WANAJUKWAA...
Mdogo wangu simu yake ya iPhone 2G ilishindwa ku-unlock kawaida... Ikabidi nipekue Google nijue tatizo ni nini. Nikagundua kuwa iko locked na inahitajika ku-update...
naombeni msaasda wa kurudisha email yangu ya yahoo nimesahau password na namba ya simu niliyoitumia haikuwa yangu imefungiwa kitambo kuisajili tena imeshindikana
nina shida sana na hyo email
Wakuu, nahitaji kujua kama kuna mtu au sehemu yoyote naweza crack hii "Huawei I E5573B" Mi-Fi ya Zantel. Nahitaji iwe universal kumudu gharama za bundle na uimara wa mtandao husika. Sihitaji kuwa...
Nina Samsung galaxy tab 10.1, inawaka lakini ikifika kwenye logo 'SAMSUNG' ina-stuck hapo hapo. Nimejaribu ku-flash custom rom kwa kutumia Odin3 lakini ina-fail. Pia haiwezi hata kwenda kwenye...
habarini wapendwa wote kama kun yeyote anayehitaji huduma ya ku downgreag, /jailbreak na kuinstall custom firmware kwa vission zote ikiwamo superslim an pm pia huduma ya kuweka games aina zote...
Nimejikita nashawishika na tangazo la gazeti la mwananchi la kudounload app ya QR-code kwa matarajio ya kupata habari kwa urahisi, nimejikuta si kweli, tatizo langu nataka ku anstore inagoma...
habarini wapendwa wote kama kun yeyote anayehitaji huduma ya ku downgreag, /jailbreak na kuinstall custom firmware kwa vission zote ikiwamo superslim an pm pia huduma ya kuweka games aina zote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.