Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
habarini wajomba kama kuna anayehitaj usbutil program kw ps2 na game zake nafundesha na jinsi ya kuitumia kw anayehitaj an pm
0 Reactions
0 Replies
689 Views
Mm n mgen hapa JF naomben msaada namna ya kuedit user name na email ktka account yang ya JF
0 Reactions
6 Replies
857 Views
Jamani naomba msaada kwa mwenye uelewa juu ya hii dekoda manake nimeambiwa inakamata sport24 sasa nimehangaika mpaka basi lakini hamna mafanikio. Mwenye uelew juu ya kuipata sport24 kwenye aina...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau naomba kupata ufafanuzi wa bei za vifaa hivi vya computer maana tulio pembezoni mwa miji mikubwa ni changamoto kuvipata. Ram 4gb DDR3 Internal Hard disk Drive SATA 500gb/1tb Adaptor watt...
0 Reactions
0 Replies
729 Views
Wapendwa amani ya bwana iwe juu yenu!!!!!!! Naomba msaada wa namna IPI niitumie kuzuia simu yangu kupokea miito( calls) ilihali Niko hewani, Nimejaribu kwenda play store app nyingi nikipakua na...
0 Reactions
13 Replies
36K Views
Hello, Hii Tecno W3 SIM 1 ipo locked kwa ajili ya Airtel tu na inatumia 3G au 2G. Lakini SIM 2 unaweza kuweka line yoyote ila haitosoma zaidi ya 2G, ukienda katika SIM settings huwezi Ku switch...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Naombeni mnisaidie activator za window 7 proffesional kwa mwenye nazo anisaidie please
0 Reactions
2 Replies
691 Views
Naomba mwnye ufumbuzi na hili tatzo anisaidie Simu yangu Inapoteza network yenyewe tu, Unashangaa mnara Wa network uko full Baada ya Muda unaporomoka na kupoteza network kabisa kisha inarudi...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Wataalamu Nilikuwa napenda kujua ni kampuni gani naweza kupata huduma ya Wi-fi nyumbani kwa gharama nafuu!! Na kwa matumizi ya mtu mmoja au wawili!! If possible niitumie ktk Smart Tv. Asanteni
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Kuna pc inaiyo shida haitaki kufanya setting yoyote, haitaki kukonect na hotspot, tatizo ni nn wakuu
0 Reactions
2 Replies
703 Views
wadau naomba kufahamishwa setting nzuri ya internet kwa mtandao wa tigo.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu wangu: Kuna network moja nafanya nayo kazi online sasa imefkia hatua ya kupokea payment na wanataka kutuma kwa cheque lakini wamesisitiza niulize kwanza je naweza ku cash...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Tunapenda kuwatangazia wale wanaopenda Kujifunza Kuandika Code kwa Java na Kuweza kutengeneza mobile application kuwa Tutakuwa na Kozi Mbili moja ikianzia October 25 na nyingine Itaanza Disemba...
3 Reactions
45 Replies
6K Views
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH Kama Ilivyokuwa QADARI Ya Allaah, Leo Tutajaribu Kuelekezana Njia 2 Za Ku Screenshot Kwa Kutumia VLC Media Player Na'am, IKO HIVIIIIIII Kabla Ya...
1 Reactions
1 Replies
846 Views
Wakuu nisaidieni Nna photocopy mashine ni cañón NP6317 ina niandikia E004 na imegoma ku fanya kazi je nifanyeje ku salve Tatizo?
0 Reactions
4 Replies
656 Views
Model :Lenovo G50-45 PROCESSOR:AMD E-6010 1.35GHZ WITH RADEON R2 GRAPHIC CARD HDD:460GB COLOR:BLACK OS: WINDOWS 10 PRO 64 BITS BATTERY: 2-3HOURS CONDITION: EXCELLENT USB: 3.0 HAINA TATIZO LOLOTE...
0 Reactions
2 Replies
658 Views
kuna jina nilikuwa natumia sasa naona imefika kipindi sivutiwi nalo nataka nibalishe jina la blog linalo display mbele ya msomaji wa blog naomba msaada natumia blogger
0 Reactions
5 Replies
948 Views
Kuna watu wanasema russia hawezi kupambana na U.S, kiukwel marekani na NATO kwa ujumla wanauwezo mkubwa lakini hawako tayari kwenda kupambana na russia maana hawatabaki salama, na kunauwezekano...
4 Reactions
1 Replies
5K Views
Nimeinstall window ten nadhan iyo genuine ina expire in Feb naomba mwenye key nikijaribu kuapdate online haikubal
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Shukran zenu wakuu Jana nilidownload IDM latest version nilipoinstall ikaniandikia your registered with fake serial number alafu inaleta kameseji ka kuhitaji First name:................. Last...
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Back
Top Bottom