Hello wanajamvi poleni n amajukumu ya hapa na pale.
Nataka nitoe somo kidogo kuhusu namna ya kuactivate windows 10.
Hatua hii itafix pia matatizo madogomadogo ya windows kama "Your product...
Nina Samsung galaxy tab 10.1, inawaka lakini ikifika kwenye logo 'SAMSUNG' ina-stuck hapo hapo. Nimejaribu ku-flash custom rom kwa kutumia Odin3 lakini ina-fail. Pia haiwezi hata kwenda kwenye...
Habari JF,
Mimi ni mtaalamu wa masuala ya IT na nimekuwa nikijihusisha na masuala ya kutengeneza websites na blogs kwa muda mrefu sasa, kwa yeyote anaehitaji kutengenezewa blogu kwa bei rahisi...
Habari ndugu, nilikuwa natazama TV nyumbani Mara umeme ukakatika, nikasahau kuzima kwenye soketi. Mara umeme ukarudi kwa nguvu,ghafla nikasikia TV ikiongea sebuleni nlipoenda ili niendelee...
msaada anaefahamu namna ya ku unlock modem ya smile 4g pls kwa sasa inatumia smile peke ake na vifurushi vyake n gharama sana ukilinganisha na mitandao mingine
salaam wataalam,
sijui nitumie Kiswahili gani ili niweze kueleweka vizuri na kupata msaada wa haraka, jana niliiflash/kuirudisha upya PC yangu kwa sababu ilikuwa inagoma sana hata kwa vitu vya...
Habari zenu wazalendo wa JF.
Naomba msaada wa namna ya kuinstall WhatsApp in Nokia Asha 200 kwa wale wajuzi wa mambo haya.
So itakuwa vizur kama mtu akiniwekea link hapa ya kudownload moja kwa...
Simu aina hiyo imeniletea shiida kwenye App. zikawa hazifanyi kazi hasa wassp, na jf nikaamua ku uninstall na kuintall upya tatizo likawa bado nikaamua kufanya factory resert. Sasa ili niendelee...
Habari wadau!..
Nina swali ningependa uliza najua moderators wanapitia hizi nyuzi pia.
Makampuni kama Google wamejitengea dau lao kubwa tu kwa mtu atakayeweza gundua any loopholes kwenye system...
Habari wakuu, aisee naomba kujua kama kuna namna yoyote yakudhibiti matumizi makubwa ya Mb,hasa nikitumia Instagram, yaani mb 600 Ku katika kwa nusu SAA inakuwa kawaida endapo nikichek short...
Msaada wenu wadau, laptop yangu ilizimika nikiwa naangalia movie baada ya umeme kukatika, ulivo rudi nilipo iwasha iliwaka kawaida na nakuandika jina la brand baada ya hapo haioneshi kitu. Ni...
Hizi hapa.......
*#06# IMEI Number
*#1234# Software version
*#12580*369# software and hardware info
*#7353# Quick test
*#0*#Test mode
*#0011# service mode
*#0228# battery status
*#0808# USB...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.