Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu habari! Nahitaji kuwa professional photographer, je ni wapi naweza kupata wataalam ninapoweza kujifunza kwa hapa dar es salaam na gharama za kufundishwa zikoje.Natanguliza shukrani kwa...
1 Reactions
1 Replies
946 Views
Takribani miezi 3 nimenunua laini ya simu kutoka kampuni ya simu ya umma yaani TTCL, baada ya kuja na kufanya promotion ya huduma zao pamoja na vifurushi mbalimbali ambavyo mteja atafaidi baada ya...
7 Reactions
25 Replies
8K Views
Kampuni mamá ya Tigo na Zantel (Millicom ) inasemekana wanafanya mazungumzo ya Siri ma kampuni ya Zimbabwe (Econet wireless), ili Econet wazinunue hizo kampuni mbili za Tanzania. Wanakimbia nini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jaman,mwenye PowerIso inayoweza kucreat image windows 7 Anisaidie
0 Reactions
9 Replies
901 Views
Nimeamini cha kwanza kuogopa ni Mungu cha pili ni Teknolojia, Hii video inaonyesha vifaa vya kiintelijensia ambavyo wapelelezi wengi huvitumia kukusanya taarifa Nahisi hata akina Lema na nassari...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
mnatumia printer zipi kuprint mabango makubwa kama ya barabarani na ni shingapi printer hizo je naweza pata hapa Tanzania na pia mnatengeneza na kuprint kwa tshs ngapi? na paper hizo zinaitwaje...
0 Reactions
6 Replies
948 Views
jamana naomba mwenye knowledge on how to remove password kwenye simu za batani (itel, tecno) ni software gan inaweza kufanya hivyo
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nahitaji msaada jaman,Nina flash yangu ni 64 GB Ila nikiiwekea vitu either programs/vingine muhimu havfunction ko naomba msaada wenu namna ya kufanya ili vifunction Ahsante
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mimi huwa napenda kutumia programu nyingi nyingi katika utendaji wangu wa kazi wa kila siku , nimeonelea niandika kidogo kuhusu programu hizo ambazo huwa nazitumia katika shuguli hizo ingawa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu naombeni msaada,kila nikitaka ku copy document yoyote kwenye Pc yangu naambiwa you need administrator permission to copy this file,tatizo ni nini? natanguliza shukrani!
0 Reactions
3 Replies
733 Views
Nahitaji kujua utofauti Kati ya MICRO PROCESSOR na PROCESSOR vinanichanganya nahitaji msaada wenu wadau
0 Reactions
2 Replies
838 Views
Wakuu naomba mnifahamishe/shauri smart phone nzuri na ya bei rahisi inayofaa kwa mwanamke,aliyokuwa akiitumia mtoto kaitumbukiza kwenye ndoo ya maji fundi anataka 70,000/= kuirekebisha nimeona...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Samahani wadau kama kuna mtu anayejua kupata Unit zilizotumika kwenye mita ya 3phase. Naomba anijuze maana vijana wetu hawa wanatuibia kisha anaweka unit nyingine ukija hesabu za unit ziko sawa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Salama wakuu? Anayejua kuhusu mafreezer ya kampuni ya Syinix naomba dondoo zake muhimu kuhusu ubora wake. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
857 Views
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH JINSI YA KUFUTA FOLDER & FILE MOJA KWA MOJA (PERMANENT) Na'am, Hakika Mambo Yalivyo, Ukiwa Unafuta Folder Au File Kwa Ku delete Kama Wajua Wengi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Msaada kuhusu iPhone 7+ Kwa anaejua iPhone vyema ,simu yangu ina 250gb,tatizo langu ni kwamba nikisave chochote chenye ukubwa wa mb kwenye simu kinachukua space Kama GB. Kama kuna mwenye kujua nn...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Wakuu nili shift from Windows 10 to Window 8.1 sasa baada ya kupiga chini win 10 nilikuta Win 8 ina miss driver nyingi sana nktafuta Driverpack solution ya offline na nka install izo driver sasa...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
hello Great Thinkers, i'm new in web apps developing arena. I'm currently doing some HTML5 CSS and JS. i know the difference btn HYBRID MOBILE APPLICATION and NATIVE MOBILE APPLICATION only by...
0 Reactions
3 Replies
586 Views
Wadau habari gani...kwa dar wapi naweza kupata sehemu ambayo ipo legit kwa ajili ya kusoma MCSE Certification..??
0 Reactions
5 Replies
982 Views
Habari wadau mwenye setup ya microsoft office kuanzia 2007 anisaidie nipo mbali na mjini naomba mtu yeyote anifanyie attachment Pamoja na hilo mwenye setup yoyote ya AVAST ANTIVIRUS offline...
0 Reactions
4 Replies
845 Views
Back
Top Bottom