As per subject above hereby is some problems I have came with,
In my laptop on typing the arobase by pressing Shift+2 it brings this symbol " please help me with some tricks to recover this...
Hello wadau nimwshindwa kudownload gbwhats app new version 2017 nifanyeje jaman naombeni link ya moja kwa moja au mwenye msaada mwingne plssss wadau shukrani
Wakubwa Kwema naomba msaada wa jinsi ya kurudisha gmail account, Nikiwa katika matumizi yangu ya kawaida ya simu yangu nilipata ujumbe kwamba nimekua signed out of google a/c nikajaribu kurudi...
Ni kweli kabisa, kuna malengo ya kutoa huduma za kibiashara kwa makampuni kupitia app ya WhatsApp...ila kwa sasa hivi hakuna mapato yanayotengenezwa na watu kutumia app ya WhatsApp.
Soma...
Hey wadau nahitaji msaada wenu,
Simu yangu imeibiwa inakama siku tatu toka ipotee, kila nikijaribu kuipiga namba yangu inaita mtu anapokea then haongei kwahio inamaanisha huyo mtu bado anatumia...
Ni siku ya pili leo simu yangu hai-boot zaidi ya kuonyesha alama ya apple tu,yaani hapa ndipo mwisho wake wa kuwaka.
kwa yeyote mwenye ujuzi/utaalam anipe maelekezo ya kufuata ili niinusuru simu...
WADAU..NATAFUTA MTU FUNDI SIMU WA HARDWARE TUSHARE TUCHUKUE FREMU AU KIBANDA TUFANYE KAZI MIMI NTAKUWA UPANDE WA SOFTWARE..HARDWARE SIPO VIZURI SANA..KAMA YUPO..NTAFUTE PM.
PC yangu aina ya DELL ukitia windows inasumbua na hats ikiingia window kioo hua cheusi na kuandika" Window is not genuine" nini tatizo na vipi nalisolve
Habari wadau,
Kuna hili tatizo ambalo ni common sana kwa computer za kileo ambalo ni kugoma kuwaka display yani unapush button ya power mashine inawaka ila kioo hakiwaki wala kuonesha kitu...
Hello, natumaini wazima, ningependa kuongelea kuhusu animations kidogo japo haijapewa kipaumbele sana japo ni muhimu sana hasa technology inavyozidi kukua tunahitajika kuboresha matangazo yetu...
Wakuu mwaka huu Samsung wametoa simu nyingi sana mpaka wanatuchanganya wateja.
Kwa maoni yangu najua simu kali za Juu zaidi kwa Samsung ni:
1)Note 8
2)s8+
3)s8
4)s7 edge
5)s7
Sasa baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.