Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Hii ni mitambo inayoitwa S400 air defense system hii ni toleo lenye ubora zaidi ya S300 ambalo walikua nalo, hii ni mitambo inayofanya kazi ya kulinda anga na hutengenezwa nchini urusi. Ukiacha...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH Na'am, Kama Kawaida Yetu Kufunzana Mambo Mbalimbali Mpaka Ujinga Utukimbie. Leo Tutajifunza JINSI YA KUBADILI SAA & TAREHE KWA KUTUMIA CMD. IKO...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
AS SALAAM 'ALAYKJM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH Na'am, In Shaa Allaah Leo Tutaelekezana Jinsi Ya Ku Zoom In/Out Kwenye Lap/Desk-Top. Twende Kaziiiiiii Zoom In -Bofya WIN KEY + Plus Sign...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu msaada unaitajika naitaji kuweka video hapa jukwaani nashindwa....natanguliza shukrani
0 Reactions
1 Replies
843 Views
Hbr ndugu Kama kichwa hapo juu dogo kachomeka USB mbovu na TV ikazima ukiiwasha inawaka lkn haidisplay kitu chochote n ukitumia king'amuzi unaweza sikiliza redio kwenye sabufa naomba msaada wenu...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwanza ipo ?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadau salamu PC yangu ni brand ya DELL Latitude E6410. Jumba (housing) linaloshikilia kioo chake limechoka saba. Naomba mwenye nayo anisaidie. Nahitaji na betri yake pia. Tuwasiliane kwa nambari...
0 Reactions
2 Replies
721 Views
Ni muda sasa simu yangu imezingua upande wa display nimejaribu kutafuta vifaa vyake nimekosa mafundi wanadai vifaa vyake hapa bongo hakuna naomba msaada kwa anayefahamu
0 Reactions
17 Replies
2K Views
PC yangu ilizimika ghafla,nikaiwasha haikuwaka badae nikatoa beteri nikaiunga direct badae Ikawaka Ikaleta mandishi haya.... BOOTMGR is missing......Press Ctrl+Alt+Del to restart nikafanya kama...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH Na'am, Leo Nitaelezea Jinsi Ya Ku Rotate Screen Ya Kompyuta. Hiko Hiviiiiii 1.Bofya Ctrl + Alt + Any Arrow Key Arrow Keys - Ni ile Mishale...
2 Reactions
8 Replies
6K Views
Habari wakuu, Mara nyingi nnapopitia mitandao ya kijamii au nnapo-search google huwa nakutana na Habari Fulani lakini huwa nashindwa kumaliza kuzisoma kutokana na majukumu ya hapa na pale ama...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wale watengenezaji wa GBWhatsApp wameamua kuachia app yao ingine,hii ina vionjo vingi sana tofuti na instagram ya playstore Ukiwa nayo unaweza download Copy link Share on whatsapp n.k unaweza...
1 Reactions
55 Replies
7K Views
Ni hivi nina Adsense Account niliomba U tube na wamesha niapprove Sasa nataka niiunganishe na blog yangu but kila nikiweka site yangu wananiletea kiswahili kingi mpk napata hasira Mwenye utaalam...
0 Reactions
0 Replies
708 Views
Wanajamii nimearibikiwa na Tv yangu hapa ya LG sijajua tatizo lake mpaka saivi tatizo lake nikama inavyoonesha kwenye picha na pale unapoiwasha inatokea mwanga hafifu usio wa kawaida na screen...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu wanabodi naomba kufahamishwa zaidi jinsi ya kufanya kazi ya mtandao hasa kufungua website yangu (blog).je ni kivipi naweza fungua. Namna ya kuiendesha na kuifanyia matangazo. Na kwa namna...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
hi niggas,,,,msaada plzzz nlikua naifuta phantom 6plus tecno ili ni update new software na nikafanikiwa kuifuta na kui update...imei ni null kama kawaida nahitaji kuzi repair....software zangu...
0 Reactions
2 Replies
691 Views
Nimesubiri refund walisema ni siku 15 au 20 nimesubiri mpaka hamna nilichopata nifanyeje customer care wao wanajibu maswali mepesi tu Naumia sana kwanini wanachukua muda hivi kurefund au huwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
wakuu msaada nikifanya installation ya whatsApps kwenye tablets inaandika not insalled.*an existing package by the same name with a confliting signature is already installed*
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Ninaomba msaada kwa yeyote anaefaham namna ya kudownload magemu kma GTA 5 free mtandaoni na site zake pia anijulishe
1 Reactions
13 Replies
9K Views
Programmer atengeneze app ya kuzuia kudownload pic au video moja zaidi ya mara moja maana picha ya lissu nishafikisha 1gb kwa picha ile ile. Nadhani itanunuliwa hiyo app
0 Reactions
3 Replies
758 Views
Back
Top Bottom