Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Camera inasumbua inaniambia "turn on camera access"
0 Reactions
1 Replies
685 Views
Mwenyekujua kudalod whatsapp kwenye iPad anisaidie
0 Reactions
11 Replies
927 Views
Habari wazee kwa vijana, Nimefanya clean installation ya windows 10 juzi hapa ili kupata experience yake toka windows 7, Cha kustaajabisha nashangaa sizioni apps zangu ninazo install hasa app...
0 Reactions
13 Replies
888 Views
Laptop yangu imekata sauti ghafla,bado cjajua tatizo lakini upande wa software kwenye setting pako vzuri.
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wakuu mwenye Ile file ya m3u ya IPTV Kwa live tv Kama [emoji115] [emoji115] hapo juu naomba atume link Natanguliza shukran[emoji120] [emoji120]
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Habari wakuu, nina laptop yangu HP 6930p elitebook. Baada ya kupeleka kwa fundi kufanyia marekebisho kidogo na kubadilishiwa/ kuweka window 8.1 imegoma kushika wireless na hata nikiwasha Wi-Fi...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Salama wakuu, Natumia Infinix 4 lite, inatumia android 6. Nimejaribu kwa KING ROOT na KINGO ROOT lakini zimeshindwa. Msaada nifanyeje wakuu.
1 Reactions
5 Replies
763 Views
Habari wanajamii Mimi ni mwanafunzi wa mambo ya programming sasa naombeni ushauri nimetengeneza full system ya medical store ambayo unaweza kuuzia dawa Kati ya faida ambazo unaweza kupata katika...
0 Reactions
4 Replies
984 Views
kuna pc(HP) ninayo ilikua na windows 7 na ikiwa inafanya kazi vizuri tuu, lakini nilichukua maamuzi ya kubadili window na kuweka windows 8, but on that time baada tu ya kukamilika installation ya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH Je Wewe Ni Miongoni Mwa Watu Ambao Hupendi Kutagiwa katika Facebook timeline yako? USIHUZUNKE Fanya Hiviiiii CHEKI VIDEO HAPO CHINI ILI...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Wajuzi wa mambo ya net na apps,nauliza kama kuna APPS yoyote inayoweza kunitolea picha zangu zilizofutika kimakosa kwa galaxy yangu,nina Samsung Galaxy Grande Prime Duos zilikuwa images pamoja na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
asubuhi nimejipanga kwenda kununua simu aina ya tecno w3 naomba kujua bei yake wasije nipiga za mbavu pia naomba mnifahamishe vitu muhimu vya kuzingatia
2 Reactions
17 Replies
6K Views
Habari za leo natumai mu wazima wa afya Nilikua natumia king'amuzi cha azam na dish lake wezi wakaniibia kingamuzi na dvd sasa nimebaki na dish bila kingamuzi ,tv na receiver ya mediacom ya FTA...
1 Reactions
9 Replies
6K Views
Hello guys, Naombeni msaada kwa aliyewahi kunua bitcoins, Ntawezaje kunua bitcoins kwa taarifa chache mfano email tu, Kuna mtandao unaitwa coin base wananitaka nitoe passport yangu na sijapenda...
0 Reactions
4 Replies
805 Views
Natumia window 10 .Nina copier canon ir 1024 .. Naomba msaada wa kupata driver ili iweze kuprint, nitashukuru. Pia kama unayo software nitashukuru ukinisaidia
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau na hitaji Viwa w5 SPD flashfile
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kufungua na kutumia blog....
0 Reactions
1 Replies
639 Views
Habari za muda huu jamani wote kwa pamoja, napenda kushiriki na wana JF mambo mengi sana lakini bado sijajua taratibu zikoje kuhusu kupost kutu. Kwa mfano mpaka sasa sijajua kabsa kuweka picha...
0 Reactions
2 Replies
635 Views
Yaan nikiweka line ya airtel ndo inazngua tu nikibadilisha upande wwte wa line inazngua ila lkn ya tigo na voda sehemu zote zinasoma nikijaribu airtel ndo inazngua some time inasoma kama sekunde...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Naomba mnisaidie site nitakayoweza kudownload plugin ya hypersonic.
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom