Wakubwa shikamoni,wadogo habari zenu.
Nlikuwa nina shida moja nilikuwa nauliza wapi nitapata Wi-Fi router ambayo itaniwezesha kuungalisha internet kwenye tv yangu ya Samsung Smart tv 49...
Jamani nimeiangalia hii clip nimeamini kuna watu wenye ujasiri wa hali ya juu, kila unachofannya inabidi ukifanye kwa ujasiri wa hali ya juu ili ufanikishe.
Hii imetokea huko south africa na CCTV...
Wataalamu wa Mitandao
Nina tatizo kama kuna mtu anaweza kunishauri cha kufanya!! Msg zangu zinasomwa ktk cmu yangu kupitia WhatsApp.
Password yangu ya simu ninayo na sometimes nabadisha kila wiki...
Tafadhali wakuu kwa anaye fahamu namna yakupata namba ya U.S.A au Canada kwa ajili ya matumizi ya WhatsApp naomba anisaidie tafadhali
natanguliza shukran
nakumbuka kulikua na thread kama hii nimeitafuta sijaipata, kama ipo mods mtaziunganisha.
muda mrefu nimekuwa nikitafuta madukani vifaa vya computer ambavyo mtu ataweza mwenyewe kutengeneza...
Wakuu naomba kujua jinsi ya kudownload music hizi za bongo fleva kwa kutumia i phone, nimejaribu sanaa nimeshindwa.
Na vile vile uwezo wa kuamisha nyimbo toka kwenye pc kuja kwenye iphone bila...
Habari,
Kuna software inabidi niweke kwenye android tablet bahati mbaya nikanunua tablet kabla software haijaja, inahitaji tablet yenye Gb 16, mimi yangu ina 8 GB hiyo baadhi ya updates zinagoma...
wakuu kwa wenye utalamu zaidi wa kujua uzuri na ubaya wa hii simu, ikiwezekana na bei yake kwa hapa Tanzania na maduka ntakayoweza kupata kwa urahisi tafadhali.
Habari zenu wana JF,ni kwamba nilikuwa Na memory card yenye ukubwa wa 2gb,hii memory nilikuwa nikitumia kwenye simu(smartphone) .
Hivyo ilibeba programs baadhi za simu,sasa juzi kati nikaitoa...
Habari ya jumapili wakubwa naomba tushee maujanja ya gbwhatsapp,mimi uwa napenda bahadhi ya themes kwa juu kabisa inakuonyesha marafiki zako ambao wapo online,pili unaweza kubadili rangi ya...
Habari wana JF kama wewe ni mfuatiliaji wa teknolojia pamoja na tovuti yetu ya Tanzania Tech lazima utakuwa unajua kuwa Samsung Jana ilitoa simu mpya ya Samsung Galaxy Note 8. Na kukusogezea...
Sote tunajua taabu inayopatikana ya ubebaji Begi au mabegi pale tunaposafiri kuelekea katika kituo aidha cha Mabasi, Treni au Ndege.
Adha hiyo sasa inakaribia kuondoka kabisa baada ya kufanyika...
Kampuni ya Apple imejichimbia ikiandaa simu mpya ya iPhone itakayokuwa ya kimapinduzi zaidi, lakini wanahofia kuwa Kampuni hasimu ya Samsung itaiba ubunifu huo.
Kwa wafuatiliaji wa mabadiliko ya...
Wakuu hii Simu Inauzwa Sh. 3,000,000/= Vipi billing au Vocha Zake Kwa Tanzania Zinatolewa na Kampuni Gani nimevutiwa Nazo Siku za Mbeleni Nikipata pesa Nitanunua.
Leo katika mda wangu wa mapumziko, nime-design kitu kidogo cha kuchangamsha uoni wako.
Niambie katika hizo rangi mbalimbali za logo, ipi inakuvutia zaidi.
How did i do it?, Nakaribisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.