Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu natumaini wote ni wazima tafadhali naomba kupata LINK ya kudownload CRACKED GOOGLE PLAY STORE natanguliza shukrani
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wakuu nimepoteza kadi ya bank CRDB nimepeleka police loss report bado aijashugulikiwa na nataka kutoa pesa msaada natoaje? Asantee
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Nimeikuta mahali, just be the first to know kuwa Samsung wanakuja na simu mpya Samsung Galaxy S 9 ambayo imeelezwa kuwa ndio simu Kiboko ya smartphones zote kabisa.... za Samsung. Rumours...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
habari wanajamvi, nimenunua simu za vodacom lakni na shindwa kutumia data lain nyingine kwa sababu lain ambayo unatakiwa kutmia data ni voda nashindwa kupata uwezo wa kutumia data kwa laini...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH JINSI YA KUBADILI MUONEKANO WA CMD Je, Upendezwi Na Muonekano Uliozoeleka wa CMD? Kama Jibu Ni Ndio, Basi Uzi Huu Una kuhusu Zaidi. IKO...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
nophone ni kifaa kama simu kisiyofanya kitu chochote, haijulikani kwanini kimetengenezwa lakini ndio kipo. specs za hii siyo-simu ni rahisi kuzijua maana kila kitu hakuna, haina os...
8 Reactions
52 Replies
7K Views
Wadau habari zenu kwa mara ya 2 naomba setup ya microsoft office kuanzia 2007
1 Reactions
3 Replies
901 Views
Wadau naomba msaada kwa yeyote aloyewahi kumbana na hii changamoto! Site yangu ndiyo kwanza haina hata mwezi, lakini jana nimeshindwa kuingia na inaniambia hacked by XenonCoder! Je nitumie mbinu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
App Zote katika simu Yangu zinafanya kazi isipokuwa Facebook, ambayo huonesha kama Hanmna conection za internet. Na nikii restore simu yangu tatizo huisha na kujirudia baada ya Siku chache Simu...
0 Reactions
0 Replies
553 Views
Hivi kwa nini American Cars kama Buick au Cadillac hayapo sana Bongo? Ni kwamba producers hawana markting strategies kwenye nchi zetu? Au hakuna magari ya mtumba ya aina hiyo? Kama kwa magari ya...
0 Reactions
5 Replies
949 Views
Samaanini sana wadau Nilikua nahitaji mwenye kujua mchoro wa circuit ya umeme ambayo inamuunganiko wa diode(light) transistor , capacitor na device nyngne nimeishau ila hiyo circuit mwisho wa...
2 Reactions
15 Replies
6K Views
Za asubuhi naomba msaada kwa mwenyekujua sehemu panapouzwa hiki kifaa pamoja na bei yake (Pocket Bluetooth USB Printer)
0 Reactions
2 Replies
671 Views
WAKUU kwema?? Ni wapi naweza kupata touch ya SAMSUNG Z2
0 Reactions
0 Replies
374 Views
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH JINSI YA KUWEKA PASSWORD PARTITION ZA HARD DISK. HATUA 1. Right Click Hiyo Partition, Kisha Bofya TURN ON BITLOCKER 2. Utaweka Weka Tiki Kwenye...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
kwa wewe unaetaka kudownload video kutoka instagram angalia haka ka kipande ka video katakusaidia
0 Reactions
0 Replies
8K Views
Wadau tafadhali naomba kusaidiwa cha kufanya kwenye cm kama kichwa cha somo hapo juu. Naamini humubkuna maepert was kutosha.!!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habri wakuu tafadhari naombeni msaada juu ya hii IDLE yangu ya pycharm nataka kuinstall packages lakini napata error nashindwa endelea na projects zangu
0 Reactions
0 Replies
728 Views
Heshima yenu wakuu.mwenye kufahamu applications zinazofuta virus ktk simu naomba anifahamishe.natanguliza shukrani
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habarini wapendwa wote kama kuna yeyote anayehitaji huduma ya ku downgread, /jailbreak na kuinstall custom firmware kwa vission zote ikiwamo superslim an PM pia huduma ya kuweka games aina zote...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom