Msaada nimepata printer mpya kazini na boss kaniambia hii printer ni Wireless unaweza kuprint sehemu yoyote sasa nahitaji msaada jini ya kuconnect wireless iwe kwa simu au computer
wandugu habari
nalikuwa naomba kujuzwa aina bora ya feni za ndani ambazo ni nzuri na zinazidumu kwa muda kidogo na zinazoweza kuhimili mazingira ya umeme kukatika bila taarifa
pia nitafurahi...
E bwana nina app yangu Inaitwa "Zote Muhimu" ni webview application, nimeangalia kwa jicho langu naona haina matatizo, ila sijui kwa wenzangu!
Idea ilikua kutengeneza app ambayo itamrahisishia...
Heshima kwenu!
Naomba kujua nini cha kufanya laptop yangu Lenovo S300 inakataa kutype baadhi ya herufi A, S, D, F, G, H, J, K na L.Herufi nyingine natype bila shida yeyote.
Kwa anayejua namna ya...
Wadau Nina Simu Yangu ya Tecno C9 sasa Leo Nimeifanyia Factor Reset Baada ya Kumaliza Nikaiwasha, sasa Kwabahati Mbaya Inaniomba Email Iliyokuwepo na Mimi Sihikumbuki Kwani Simu Nilinunua Njiani...
Ndugu wana bodi kompyuta yangu imevamiwa na ramsoware (kama sijakosea) na file zote katika mfumo wa pdf doc xls zimebadilika extension na hivyo kutosomeka kama ilivyo kawaida.Naleta kwenu ombi la...
Naomba msaada kwa yeyote anaweza nnisaidia namna unaweza pata ant virus kwa ajili ya PC, au mwenye free keys ambazo znaweza nisaidia.
N:b kuna post pia niliwahi ionaga humu ikiwa na keys za...
Hbrn wadau wa if naomben msaada maana nataka kumuunganisha mtu ktk simu yngu ili kama anawasiliana na mtu mwingine nijue anachowasiliana nae na ktk sms zake anazochati niwe naziona kupitia simu yng
Wadau,
Ninafanya tathmini ya kujiunga na mtandao wenye vifurushi vyenye kutoa dakika nyingi za kupiga kwenda mitandao mingine. Ninaamini hili ni jukwaa sahihi la kupata majibu sahihi! Ninaomba...
Jana nilienda ofisi za startimes hapa jijini Arusha. Katika maongezi na mto huduma pale nikakuta aina mbili za vingamuzi tofauti yake ni colour strips. Yaani kimoja kinaruhusu free local channels...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.