Wakuu ivi kuna njia yoyote ya kuniwezesha kureceive Money from SA direct to my Mobile money account via mpesa? Nimejaribu through Swift code kw kutumia visa card ila sender anasema inamgomea is...
Naombeni msaada nijue jinsi ya kuangalia online tv kwa kutumia url au ip address ya hiyo tv kama vile azam tv, itv au star tv, je kunazo URL kwaajili ya huduma hiyo..?
Wanabodi natumai hamjambo, mnaendelea kujenga viwanda.
Nimekuwa najiuliza maswali kuhusu huduma za kifedha kwa njia ya simu, mathalan M-pesa, tigo-pesa, airtel money zinavyofanya kazi.
Mimi...
Wakuu habari za usiku.,
Bila kuchelewa hapo kichwa cha habar kinajieleza, mimi kuna swala huwa najiuliza nakosa majibu ni kwanini inakuwa hivyo.,
Kwanza; Simu nyingi hasa smartphones(zilizonyingi...
Habari za Mda Huu ndugu, Kma kichwa kinavyosema Natumia samsung galaxy A5, Tatzo lake ni kwamba wakati natumia Internet Inatumika kwa mda fulani alafu inakuja inazima yeyewe kwa dakika kma mbili...
Ndugu zangu naomba msaada kuna mtu ambaye alileta link humu ya Instagram kwa kupata followers cha ajabu ametumia hiyo Ku hack account mpak sasa siwezi Ku access naomba ushauri na msada wa kufanya
habarin wanajukwaa tatizo langu kila nikidownload app nikiifungua inaleta maandishi kwa chini ambayo ni
mfano
facebook is denied to obtain your current position
naombeni msaada kwa anayefahamu...
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH
Na'am, Leo Tutakhabarishana JINSI YA KUTENGENEZA SAA NA KALENDA KWA KUTUMIA NOTEPAD
Mahitaji
-Lap/Desk-Top
Hatua Za Kufuata
1. Ingia NOTEPAD Kwa...
hii simu ni tecno juu ya cover imeandikwa camon..
ndani kwenye about phone imeandikwa tecno c 9
ila nikiingia net au nikiichomeka kwenye pc inasoma
tecno J8
je tatizo liko wapi?
na je nikitaka...
hii simu ni tecno juu ya cover imeandikwa camon..
ndani kwenye about phone imeandikwa tecno c 9
ila nikiingia net au nikiichomeka kwenye pc inasoma
tecno J8
je tatizo liko wapi?
na je nikitaka...
Wakuu msaada hapo kama kichwa kinavyojieleza pc yangu compaq ile monitor au screen inacheza cheza mpaka niiegemeshee mezani au ukutani asa nikafikir solution nipate housing au kama kuna solution...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.