Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kwa wale watumiaji wazuri wa websites mbalmbali za kudownload torrents kama bitcq, kickass tumeingiwa na huzuni kubwa kutokana na ukatili ambao watu wanaendelea kutufanyia baada ya kuziblock hizi...
3 Reactions
45 Replies
8K Views
Jinsi ya kutengeneza you tube channel.
0 Reactions
2 Replies
568 Views
#include<iostream> using namespace std; main() { enum { GREAT=1, is=6, Tanzania }; cout<<"The GREAT is :"<<GREAT<< " Tanzania is:"<<Tanzania; } /* Give output...
0 Reactions
6 Replies
917 Views
Samahanini waungwana naomba msaada kamera yangu ya selfie aifanyi kazi nimejalibu njia tofauti lakini nimeshindwa .
0 Reactions
0 Replies
775 Views
nauliza inatakiwa gharama kiasi gani kutengenezewa ecommerce website mpaka inakamilika nilijalibu kwa kampuni ya shopify kutengeneza mimi mwenyewe lakini plan zao kwa mwezi ni kubwa sana basic...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
#include<iostream> using namespace std; main() { enum { GREAT=1, is=6, Tanzania }; cout<<"The GREAT is :"<<GREAT<< " Tanzania is:"<<Tanzania; } /* Give output...
0 Reactions
0 Replies
638 Views
Wadau mnisaidi ms office 2013,2016,2017 itakayo patikana inayo support 64bit na 32 bit pls
0 Reactions
1 Replies
485 Views
Natafuta simu Aina ya Nokia x2_x3(ni ya batan na touch) mwenye nayo anijulishe
0 Reactions
0 Replies
662 Views
Wanajukwaa Naomba anayejua kuitumia app hii vizuri anielekeze kupaste formula kwa rows za chini kama ilivyo kwenye excel sheet Asante.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni aibu kama bado unatumia app mbadala kwa kupakua vitu instagram. GB mods wameachia mzigo mpya amabao una makorokoro kibao,sema kitu mojawapo nilichopendea huo mzigo ni kubadili muonekano yaani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanabodi habari. Nina uelewa kiasi katika masuala ya kompyuta na mara nyingi huwa nafanya service ndogo ndogo kwa kompyuta yangu tu. Ninataka kufahamu zaidi katika swala la hibernation. Kiufupi...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu naombeni msaada namna ya Kupata PUK za line yangu ya tigo,imejiblock na kile kijikaratasi chenye PUK sina customer service wananisumbua tu.
0 Reactions
16 Replies
11K Views
Wadau nisaidieni nataka kununua kin'gamuzi cha bei poa kati ya startimes au ting au kingine chochote lakini si dstv Pamoja na gharama zao,naomba pia kujua ni kipi ntapata...
0 Reactions
38 Replies
7K Views
Hey guys, i hope wazima, kwa wale wakongwe mliofanya itikadi za kutafuta mpunga mtandaoni naombeni mawazo yenu, Kampuni ipi kati ya ogads na cpagrip iko poa kwa ajili ya cost per action, trick ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Niaje wakuu nauza Acc ya Ads Nilikuwa natumia Youtube Nika Upgrade Now ni full inatumia Blogger Bei 60K nakupa Full Details Done Inbox
0 Reactions
10 Replies
900 Views
wana jf wenzangu wa jukwaa hili naomba mnisaidie mwenye hiyo driver natanguliza shukrani.
0 Reactions
5 Replies
819 Views
Habari za muda huu wakubwa mimi namiliki tecno spark k7. Sasa juzi tu nashangaa simu imebadili mfumo ile line ya notification haiji mpaka ujumbe wa WhatsApp uingie ambapo ni tofauti na awali je...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Naomba mnisaidie kwa anaefaham kuverify Acc ya instagram Kama ukinichek Tsapp ITAPENDEZA ZAID 0718712554
0 Reactions
5 Replies
935 Views
Join kama unauza au unaitaji PHONE/PC CCESSORIES
0 Reactions
1 Replies
600 Views
Habari za jumapili ndugu zangu. Nimekuwa nikivutiwa sana na sanaa ya upigaji wa kinanda mpaka nimeamua kununua na kukiweka nyumbani lakini sijui chochote katika upigaji wa kinanda, nafikilia...
2 Reactions
7 Replies
11K Views
Back
Top Bottom