wakuu samahanini, nilikuwa naroot simu yangu Galaxy s6 sm-g920p, nilikuwa natumia odin na nilitumia kernel na twrp ya sm-g360f sasa baada ya simu ku reboot touch haifanyi kazi na simu...
Wanajamvi naombeni msaada nimefuata admin account kwenye PC yangu nikaunda akaunti nyingine na nimeiweka kama admin akaunti sasa baada ya hapo nili sign out ila nikitaka sign in inakuja admin...
Mimi ni kijana mwenye Nia ya dhati ya kujipatia kipato na kuepuka a na Omba Omba.. Nimejichanga na nimenunua kamera aina ya Canon sasa naomba msaada jinsi ya kutumia ikiwemo na kupiga passport...
Naomba msaada wa jinsi ya kupata puk namba maana nimeomba visa wanifungulie simu wameomba namba 17 nyuma ya laini wakati sina naomba mwenye utaalam wowote wa kufungua simu anisaidie ninayoishi...
Wadau, simu yangu; Microsoft Lumia 650 upande wa juu wa screen haufanyi kazi. Nilienda Sapna wakaniambia tatizo lake itakuwa ni kioo chake (screen ) lkn hawana. Nimejaribu kuzunguka maduka...
Kwa mara ya kwanza mimi pamoja na timu yangu hapa Rochester, tumeweza kutengeza Animation! naombeni ushauri wenu, Pia usisahau Kusubscribe ukurasa wetu..
Habari zenu i hope mpo wazima kabisa, Nina modem ya huawei3372h-153 ipo unlocked lakini tatizo ni kwamba sina option za muhimu kama ussd, phone book, etc...PLease wana tech mwenye uelewa wa...
Naomba msaada ndugu zangu kama kuna mwenye kujua namna ya kufuta / kuremove all post & follows ktk instagram account Kama mtu anaijua program maalumu ya kufanya kazi hii naomba nisaidie....
Bila...
Nimekutana na hii kitu mtandaoni kwa wale wanaotaka kujifunza Android programming darasani.
Siku 10, 400,000/=
Deep Dive Android app Development Training
Sihusiki naleta habari tu!
Jamani nina pc yangu ambayo nimepewa na brother yangu na baada ya kuchukua nilifika nyumbani na baada ya muda nikaanza kutumia ila baadaye nilibanwa na shughuli kwa Wiki kama mbili na nilipo kuja...
Kwa wale ambao walishatumia Samsung galaxy tab na kukukutana na tatizo la message kama hii
Unfortunately Samsung galaxy tab has stopped
Mlilitatua vp wakuu msaada tafadhali
habari wakuu.
Naomba msaada wa jinsi ya kudownload games za play station 2 kwa ajili ya kuziweka kwenye flash na kuchezea kupitia flash.
program ya kusupport games kucheza kutoka kwenye flash...
Ndugu zangu wanajukwaa mimi Simu yangu internal memory 16GB ila hakuna vitu vingi kwenye simu ila nashangaa ijaa tu mpaka nimeamua kurestart lakini bado tatizo liko pale pale
Nini cha kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.