Hii simu ilipata new vison. Baada ya kudownload, ikazima na kujiwasha kama simu nyingine . Ilipowaka ikataka network ya data au wifi. Ukiwasha hotspot inakubali na ina pair kabisa. Ila haikubali...
Habari wanaJF,
Naomba msaada kijana wangu nimemtafutia simu aina ya Tecno pop 7 shida ipo kwenye sms anapotaka kutuma ujumbe Inacomand atume Kwa lakini Moja tu na haimpi choice ya line either 1...
Ili usonge mbele au uishi kwa raha lazima kuna vitu uvi cut (ondoa),Block, au uvipige ban si kwa ubaya ila kwa afya ya akili yako na amani ya moyo!
Vitu hivi vinaweza kuwa vinakutia stress, au...
Makampuni mengi unlimited yanatoa TB 1 hasa kwenye vifurushi vya chini kwa matumizi ya nyumbani
Mtu analalamika 1 tb ndogo na tunajua kibongobongo wengi hawatumii net kufanya backups, kutumia...
Ni kwanin kompyuta zenye apu za processor ya intel iwe na gharama zaid ya processor za amd ryzen, wakat specs zngne kama processor speed, ram,rom na generation zko sawa
Kwa kazi zangu za mtandaoni mara kwa mara na sim yenye kasi na uwezo wa kuhifadhi vitu vingi na inayokaa na chaji sana nishaurini tafadhali ninunue sim gani kwa hiyo bajeti
Jamani out of nowhere tu TV yangu aina ya Skyworth imezingua na kuzima na ukiwasha inaanza kisha kuzima tena; Fundi kaja ananiambia iyo internal system yote inabidi ibadilishwe 180k; yaani mafundi...
Wakuu endapo Nitakuwa na app na kifaa nilicho ainisha hapo chini je endapo nitainunua app nitafanikiwa kuscan code za gari yoyote Ile ambayo niyakuanzia 2000. Note nataka iwe kama huduma ya kibiashara
Habari wanajamvi,
Natumai siku hii ya alhamisi imeenda vizuri. Binafsi Mungu amenipa uzima na nia ya kuandika hivi nnavyotaka kuvidondhosha hapa.
Nilikuwa namsikiliza dada mmoja Youtube leo...
Maswali yangu
1) Ni Kampuni gani inaweza kunitungia Fibre au huduma ya internet kwangu ambayo Ni affordable zaidi
2) Je, kifurishi au package kwa mwezi inakuwaje
3) Je, idadi ya watumiaji ikiwa...
Habarini ndugu zangu
Niende kwene mada,nina simu yangu ambayo kutokana na uwezo wake kuwa mdogo niliamua kununua memory card Ili niweze kuongeza storage katika simu yangu.Nilipoweka hio memory...
Binafsi najifunza programming just for fun and enjoyment ya kupata maarifa mapya.
Nimeanza na HTML pamoja na CSS kadri siku zinavyoenda tutapeana updates ya jinsi darasa linavyoenda.
Site...
OpenAI, the creator of ChatGPT is back with a new text-to-video AI generator Sora. It can create videos of up to 60 seconds featuring highly detailed scenes, complex camera motion, and multiple...
Ni vitu gani nizingatie nikiwa nanunua router kwa ajili ya matumizi ya ofisi kwa wastani wa watumiaji 300?
Naomba msaada ni jinsi gani naweza kuziona hizo specification.