Habari ndugu zangu,
Nina shida Whatsapp yangu ilifungiwa kwasababu nilikua natumia GB whatsapp. Nikawasiliana nao kwa njia ya Email account ikafunguliwa.
Nikatumia whatsapp official kwa muda wa...
Habar zenu wadau. Nataka kununua laptop lakini mimi sio mzoefu/sana na naogopa kupigwa mana siku hizi nimeskia wafanyabiashara wajanja wanauza laptop used kwa bei ya mpya, wanachofanya ni...
Kwa tech gurus wote kwenye jukwaa hili, title ya uzi yahusika.
Naombeni namna ya ku-watch/download WhatsApp Video call (outgoing).
Urgently naihitaji video husika ila haipatikani kwenye...
Wakuu nina subwoofer ndogo nimenunua haijamaliza mwezi ina tatizo la kujizima kila mara mfano umeweka flash unasikiliza mziki au upande wa radio itajizima kama vile umeme umekata lakini muda...
Usije ukalia baadae, useme hukujua.[emoji116]
1. Kama umepokea ujumbe kutoka Kwa mtu unayemuamini sana
Mfano anakwambia Kuna site ya kuinvest na unapata faida kubwa
Cha kwanza FIKIRI.
Pili...
Ndugu zang wa JamiiForums, laptop inatikiwa na ram ilikuweka game kwa kucheza mfano sasa Pes 2023, Call of Duty 3, Fifa 2024 inatakiwa Ram ngapi ilikucheza bila kugom goma
Naomba kuuliza; Kipimo cha treni kwenda kasi ni kuchongoka kwa kichwa chake au mifumo ya ndani ya injini?
Nauliza hivyo kwa sababu nimeiona video siwezi kuidownload mkurugenzi wa TRC akisema kuwa...
Habari wadau, poleni na kazi.
Hivi mwalimu aliyesoma Mathematics na IT chuo anaweza kufundishia Computer science Kwa ngazi ya A-Level?
Nawasilisha mada.
Kwenye hard disk ya computer yangu kuna partition ina 197 GB ina files zangu nyingi sana.Nilikuwa najaribu kufanya installation ya Windows 10 kwenye partion nyingine ya hard disk hiyohiyo yenye...
Kuna wakati Mwaka 2019 nilitumia TCL TV ikiwa na builtin Decorder DVB T/T2 na ilikuwa nikiunga antenna napata channel mbalimbali Bure. Ni muda Sasa TV hiyo Toka iharibike. Sasa katika uchunguzi...
Wanajamvi heshima kwenu,katika pitapita zangu mtandaoni nilibahatika kukutana na notisi nzuri sana kwa watoto wa shule ya msingi, kupitia forum ya "msomi bora" kwa bahati mbaya sana notes hizo...
Niliwahi kum unfollow Dr mmoja anayewasema sana wanaume, ila kila nikifungua simu naona ukurasa wake eti suggested for you!
Kwa mwanaume yeyote ukitaka kuishi kwa kuongezewa msongo,mfuate huyu...
How to reset your phone?
The generic steps for factory reset will involve the below similar steps:
Go to the Settings app in your phone and find System.
Select Reset Option.
Reset option usually...
ni juzi hapa niliweka post ya kununua hard disc kuigeuza iwe external lakini speed yake ya kuhamisha mafaili ilikuwa ndogo sana, wadau wakanipa elimu ndio nikagundua tatizo lipo kwenye kasha /...
Jambo wanajamii.
Tafadhali anayejua app ya kutafsiri lugha, nimekutana na kitu kizuri sana usiku huu Youtube, sitapenda kinipite.
Thank you in advance.
Kwa miaka nenda rudi, nchi kama marekani imekuwa na matukio kadhaa ya UFO(Unknown Flying Object). Madai abayo yamekuwa yakihusisha vifaa hivyo na uwepo wa viumbe wengine wneye akili na teknolojia...