Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wana jamvi! Kabla sijakurupuka kuita fundi naomba msaada wa mawazo yenu fridge langu lina milango 2 mlango wa juu {freezer} ligandisha vizuri tu, lakini Mlango wa chini ambao huwa...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari wakuu.. 1.Naombeni msaada kwa yoyote anayejua jinsi ya kudownload Video kutoka katika Application.. Leo nilidownload SimuTv sasa kuna video nikataka ni download ila ikashindwa.. Hvyo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari ya jioni wakuu. Nauza BlackBerry Classic ikiwa kwenye condition nzuri, ina chaja yake pia na battery inatunza chaji kwa muda mrefu hata ukuwa unatumia 4G kwa ajili ya data Kwa watakao...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Mimi hua ni mfuatiliaji sana wa mambo hasa ya technology. UDSM kama chuo kinachoongoza Tanzania nilikua nategemea watakua mstari wa mbele kuendana na mabadiliko kwenye technology. Nimepitia...
13 Reactions
185 Replies
21K Views
Wataalam Simu yangu inakuwa full mara kwa mara, inanipasa nifute mapicha na video mengi ndio space inakuwepo, lakini baada ya siku mbili tatu inakuwa imejaa tena hata kama nimedowlod au nimesave...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari wana jamvi. Hii ni taarifa kwa wote na wengineo. Asubuhi ya leo nilipokea message kutoka number +15453, ikidai ni airtel Timza na walikuwa wanafanya tafiti kwa huduma ya airtel Timiza...
2 Reactions
9 Replies
5K Views
Wadau naombeni Msaada PC yangu ipo matatani space inajijaza yenyewe Automatically naona sasa Imekua Red kila ni Free up ninakuta imejaa tena.
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Anybody with a proper link to download cracked version ya hii game without rooting my phone, nimepata link kadhaa ila imagine una download more than 1 GB alafu mzigo haufunguki au unakua famba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu Nipo kariakoo Vipi ubora wake wa simu ya infinix laki mbili Wakuu nishaurini ninunue Au
5 Reactions
109 Replies
10K Views
Wakuu habari... Naomba kuuliza wapi naweza kununua simu ya Oppo A59 kwa hapa dar es salaam ikiwezekana na bei yake.. Shukrani.
1 Reactions
0 Replies
2K Views
naomba msaada kama kuna njia ya kuboost post bureau fb page nimejaribu kulipia lakini nimeona napata hasara nimejaribu Mara mbili wanakwambia post itawafikia watu16000 lakini inafikia watu 3000...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Tafadhali mwenye kunisaidia, nimeiwasha laptop nikaweka flash disc nifungue folder ikaanza kama kufikiria, nimeisubiri lakini nilipotaka Ku move cursor ni click naona haitembei, wataalamu wa hivi...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Wakuu habari za mida hii. Ninashida ya smart watch yangu ambayo nimeinunua China through Aliexpress, tatizo ni kwamba kila sim card ninayoweka napata ujumbe pale juu unaosema "invalid sim" SHIDA...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wakuu, Screen yangu inadisplay rangi kama njano fulani hivi. Hali hii inasababisha macho kuumia wakati wa kutumia computer. Nifanyeje kutatua tatizo? Msaada tafadhali. Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hili swali limekua likinisumbua kwa muda kidogo, hivi kwa nini graduates wengi wa information technology wanafikiria kutengeneza inventory system na kuziuza kwa wanabiashara bongo?? Nasema hivo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mambo viiipiii kuna picha fulani ambazo nimekuwa nikizipenda natamani kuijua hiyo app inayotoa picha za dizaini hiyo ... Picha zenyewe nizile za kunga'aa sana lakini image zilizo nyuma hufubaa...
0 Reactions
32 Replies
8K Views
Mambo Vp wadau Nahitaji huduma ys SEO katika blog Yangu na kusetiwa vizuri site ifanye vizuri katika search engine kama vile google , bing nk. Nahitaji mtaalamu tufanye kazi kwa malipo
0 Reactions
4 Replies
875 Views
Remix OS.. Kwa wale wapenda operating system zenye feature mpya au ni watumiaji wa Windows lakin si kwa kazi kubwa sana kama za graphics na production nyingine nzito ila kazi zao zinabase zaidi...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Leo nina habari nzuri kwa watu wote wanaoitaji kuroot, Ku unlock, na kuflash simu zao inbox me kwa ajiri ya software na maelezo zaidi Post sent using JamiiForums mobile app
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Nimekua nikihangaika sana wakati ninapotaka kubadilisha laini za mitandao mingine kwenye simu yangu upande wa sim1, kila nikiweka huwa kuna maneno yanayojitokeza kama hivi " SIM1:unlock network...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom